Hunk Man
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 203
- 350
Kitabu gan hcho?Tuma email nikutumie kitabu naamini kitakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitabu gan hcho?Tuma email nikutumie kitabu naamini kitakusaidia
NBAAKitabu gan hcho?
Kitamsaidia kwa kias fulan lakn akikutana na maswali ya calculations hata ikiwa kwenye kile kitabu akilisolve amelikosa loteTuma email nikutumie kitabu naamini kitakusaidia
Bs mwelekezeSasa hicho si kiko online tu mwelekeze akadownload mwenyewe?
Sasa hicho si kiko online tu mwelekeze akadownload mwenyewe?
Yeah ila kitampa mwanga flanKitamsaidia kwa kias fulan lakn akikutana na maswali ya calculations hata ikiwa kwenye kile kitabu akilisolve amelikosa lote
N kwelYeah ila kitampa mwanga flan
Na watu wanatoka kweli nataka niamie huko na mmYaani Customs ina mambo machache na inasomeka kuliko Tax Management ina mambo mengi mno na ukisoma huwezi kumaliza zote ila cha kushangaza wengi wanakimbilia kwny nafasi ya Tax Management officer
Na kule Customs unakula maisha yaan ndani ya miezi kadhaa una kagari chako cha IST unakula nalo bata hapa mjiniNa watu wanatoka kweli nataka niamie huko na mm
Mkuu Customs pamoja na udogo wake unaweza kuta unaambulia kujibu valuation methods tuu [emoji1][emoji1][emoji1]Yaani Customs ina mambo machache na inasomeka kuliko Tax Management ina mambo mengi mno na ukisoma huwezi kumaliza zote ila cha kushangaza wengi wanakimbilia kwny nafasi ya Tax Management officer
Mshahara mbona upo wazimshahara hamtaji kelele tu
sema tu mkuu
Gar kwangu siyo kipaumbele kwa sasa hata nikae miak kumi Kam Sina na Mambo yakwenda vzr itakuwa vzr sanaNa kule Customs unakula maisha yaan ndani ya miezi kadhaa una kagari chako cha IST unakula nalo bata hapa mjini
HV mkuu ile ya jus mwez wa tatu umefanyahizi nyuzi za mitihani TRA mbona ni nyingi mshaitwa interview kumbe..!!