Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 400
- 484
Kazi za kiofisi ufanywa kwa maandishi ndio maana hata alupoteuliwa alipewa cheti cha uteuzi.je anayo maandishi yaliyo mwelekeza kufanya mambo hayo?je hayo maelekezo yako ndani ya utendaji kazi ya ukuu wa wilaya kisheria?hapo ndipo panaposubiriwa.Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu.
Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu?
Kwa nini magari ya serikali yalitumika kufanya uharifu?
Kwa nini Sabaya awachukue aliowapora na kuwapekeleka polisi kama wahalifu?
My take: Ofisi ya Dpp imejaa uozo na kukosa weledi. Maana inapoteza rasilimali za umma kushitaki pasipo busara. Kosa la ujambazi liliingia vipi?