Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iseee hawa jamaa hawaogopi kabisa..wapepost kwa ujasiri kabisa..
Jamaniii, hapo hela nyingi utaambiwa imeenda kwenye supervision 🤣 ya hako kakibanda
Milioni 9 unaichukuliaje mkuu? Hilo banda halifiki hata milioni 1Yaani hicho kibanda kukamilika hadi hapo hakizidi Million 9
Huwa nasema kila siku, hii nchi ina bahati hainaga majanga majanga ndiyo maana raia hawana habari, lakini ingekuwa na majanga hii nchi walahi pangekuwa panachimbika sn mana raia wasingekubali kuishi bila Rais kama hivi. Hii nchi hata paka anaiongoza.Nchi inajiendesha yenyewe Kila mtu anajipigia kwa muda na nafasi yake.
Miss Tanzania By Solo Thang.