Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ngumu sana hii.Hahahah soko la kimataifa ? Cold room iko underground au ?
Tatizo hapo halipo kwa mjengaji.Wangenipa mimi hiyo tenda ni wajengee banda kubwa mara 2 ya hilo kwa milioni 10, na bado ningepiga kama 2M za kwangu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kila MTU atakula kwa urefu wa kamba yake
Hapo Muleba kuna TAKUKURU na DSO kweli!!!
oHapo Muleba kuna TAKUKURU na DSO kweli!!!
IPO kwemye cloud/saver angani!Hahahah soko la kimataifa ? Cold room iko underground au ?
Uko sahihi hizo nguzo na mabati jumla haifiki hata milioni 4Wamekosea kuandika labda. Hapo nafikiri ni wastani wa milioni 2 hadi 3.5
Aise....
Sio kama kamgao katahusikaSo hapo waziri ataongea tu na waliomzunguka watacheka then story itakuwa imeisha.