Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
hatari sana. nchi inamegwa kisela hadharani tena mchana kweupe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.i.P John...😥So hapo waziri ataongea tu na waliomzunguka watacheka then story itakuwa imeisha.
Hapa ndipo ninapomkumbuka mzee magufuli kwa uzalendo wake alikuwa hacheki na ngedere kwenye matukio kama haya.
Milioni 9 unaichukuliaje mkuu? Hilo banda halifiki hata milioni 1
Wangenipa mimi hiyo tenda ni wajengee banda kubwa mara 2 ya hilo kwa milioni 10, na bado ningepiga kama 2M za kwangu.
Nimepiga mahesabu nakubaliana na wadau hapo juu ,gharama ina range from 7m to 9m.
Kwani hauwaamini mkuu?Hilo jengo haujaingia kwa chini/undeground.Lina wastani wa ghorofa sita kwenda chini.Ni kulilinda na maharamia.Ni very potential building. 🙏😎
Na ndicho kilichokuza gharama hapo,🤣🤣Hahahah soko la kimataifa ? Cold room iko underground au ?
Kwahiyo Mkuu na wewe ni mpigaji kama hao tu ila mnatofautiana viwango tu vya upigaji wenu?Wangenipa mimi hiyo tenda ni wajengee banda kubwa mara 2 ya hilo kwa milioni 10, na bado ningepiga kama 2M za kwangu