Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

Si kihivyo lakini unajua kuna kupiga kwa haki na kupiga kwa dhuluma. Watanzania tungekuwa tunapiga baada ya kukamilisha kazi iliyotukuka kusingekuwa na tatizo kwani hata walioendelea wanapiga lakini kazi inalingana na fedha zilizotolewa. Kweli hilo paa hapo milioni 50!!!
Kwahiyo Mkuu na wewe ni mpigaji kama hao tu ila mnatofautiana viwango tu vya upigaji wenu?
 
Yupo Mtanzania ukimwambia hilo ni soko la kimataifa anaamini maana wengi wetu hatuna exposure na ndio hapo hawa wajinga hutumia huu mwanya kuhadaa kila mtu.
 
Nina muda sijacheka .. Mama endelea kuupiga mwingi 🚣‍♀️💃
 
Wasiojua BOQ watadhani ni wizi
  • hapo kwasababu ni swamp area, jamvi limesukwa na nondo za material ya titanium 2 meters underground 10M
  • hizo kench ni za aluminium diecast 10M
  • materials 10M
  • labour 10m
  • supervision 5M
  • 5M as usual (10%) ya kickbacks
Kuna wizi gani hapo?.
Acheni hizo!.
Tafuta pesa, make money, get rich or die trying!.
P
 
Back
Top Bottom