Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

Nchi inajiendesha yenyewe Kila mtu anajipigia kwa muda na nafasi yake.

Miss Tanzania By Solo Thang.
Huwa nasema kila siku, hii nchi ina bahati hainaga majanga majanga ndiyo maana raia hawana habari, lakini ingekuwa na majanga hii nchi walahi pangekuwa panachimbika sn mana raia wasingekubali kuishi bila Rais kama hivi. Hii nchi hata paka anaiongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…