Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

Hatari sana aisee Hili Taifa,Bado huyo mkurugenzi yupo kazini?
 
Utetezi huu ungeletwa na Quantity Surveyor angalau angedanganya kwa weledi kidogo.
Sasa wewe Lawyer na BoQ wapi na wapi?!!
 
Na wewe ni mmoja wao???
 
Utetezi huu ungeletwa na Quantity Surveyor angalau angedanganya kwa weledi kidogo.
Sasa wewe Lawyer na BoQ wapi na wapi?!!
Hapa ni utetezi wa kuweka caveat ili watu waliokutwa na ngozi, wakatundikwa msalabani wakati waliokula nyama ni wengine!, mimi ni mtetezi wa haki, hata Amatius Lyumba alipotundikwa msalabani kwa majengo pacha ya BOT, tulijitokeza tukamtetea.
p
 
Jamaniii, hapo hela nyingi utaambiwa imeenda kwenye supervision 🤣 ya hako kakibanda
Na kwa sbb mwendo n mrefu, gharama n kubwa sana🤝🤝🤝

Kusafirisha maofisa tu kwenda kucheki site, design na mengineyo n hatari..

Ogopa
Jidanganye uanze ujenzi bila hela za kutosha🤣🤣🤣
 
Na kwa sbb mwendo n mrefu, gharama n kubwa sana🤝🤝🤝

Kusafirisha maofisa tu kwenda kucheki site, design na mengineyo n hatari..

Ogopa
Jidanganye uanze ujenzi bila hela za kutosha🤣🤣🤣
Alooo 🤣
 
Binafsi sioni ajabu! Milioni 50 zimetolewa kujenga mradi huu! Zimetolewa Milioni 50 je zilizofanyiwa kazi ni Milioni ngapi? Kitaalamu Milioni 40 zimepigwa! hapo Milioni 10 tu ndo zimefanyiwa kazi!
Kazi iendelee Mama anaupiga Mwingi! Harmonize walete!
 
Hizi ndizo halmashauri zetu. Wakati katibu tawala wa sasa Mkoani Dar es saalam, Toba Nguvila alikuwa mkuu wa wilaya hiyo.

Halmashauti ikaanzisha mradi wa Radio ya Halmashauri, kilichoyokea ni mamilioni kupigwa na watu wanaebdelea kumsifia mama na wengine wakipanda vyeo.
 
SHERIA ZA KUNYONGANA INABIDI ZIRUDI TANZANIA .HII SIO SAWA KABISA HATA KAMA MNAIBA NA MKO WENGI ILA HII NI TOO MUCH HAYA AIBU WATU HAWANA
 
Halafu wizara inapost kabisa mwananchi wa kawaida hadi unaogopa halafubwenyewe oya oya tu wanaona fresh na machawa wanasifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…