Achanae bushman uyo kule kila kitu mterezo wanaangalia wamjini tuAkili huna kabisa. Hivi unaelewa maana ya kodi wewe?
Kodi huwa inakatwa kutoka nini?
Umeshawahi kufanya hata biashara yoyote ambayo TRA wanakukata kodi?
Wanakata kodi kutoka kwenye ulichopata au kwenye faida?
Kama wewe ni mzazi basi watoto wako wameshakula hasara.
Mimi ungekuwa Baba yangu wallah ningeshakulamba viboko siku nyingi. Siwezi kuwa na baba Poyoyo kama wewe.
I rest my case.
Kabisa..Tuanzishe kampeni hakuna kutumia mobile money
Mzee baba hii kazi nimeielewa aisee! Nipatie link nitambae na chakiWatu wasiende kula Bata ulaya na dubei ama paris na kufanyiwa masaje na watt wakali Kama Hawa.
Afu eti wakukumbuke wewe so unadhani hapo nyuma kulikuwa hakuna sehemu nyingine ya Kodi ya kuyafanya hayo mambo.
Yaani mtu anaiba ama anafuja pesa yetu Ila anadunda mtaani tu.
View attachment 1853953
Kwahio walikubaliana huu uozoNa ilijadiliwa kwenye Baraza la mawaziri ikapitishwa ndio ikaja bungeni...
Its a government by the people!Duh! This is no longer a government for people.
Upumbavu Pro MaxHuu ni upumbavu uliopitiliza
Na siku akiingia kiongozi mwingine, let say Mpango, atafuta haya ma tozo siku iyo hiyo , Kama vile hakuwemo serikalini..Mama anafungua nchi
Hahaahhahahaha kmmmkUsikute umekaa sebuleni kwa bwn shemeji.
unasubiri wali ndondo...
Aisee,Acha nongwa mpiga dili.. JPM alikuwa anaua uchumi
Utawaelewa tu kuanzia kesho!Hawa jamaa hua siwaelewi kabisa
Atatuvusha 😂😂😂Mama anaupiga mwingi sana....
Kizembe tu namna hioTulipe kodi. Tujenge taifa. Kuna wigo mpana tu wa kutuma na kupokea pesa. Hata benki unaweza kutumia
Tozo ya serikali ni ya kihuni haisimami kokote kikatiba😎Hivi Tofauti ya VAT na tozo ya serikali ni nini?! [emoji849]
Ni kilioView attachment 1853406
View attachment 1853410
View attachment 1853411
View attachment 1853412
View attachment 1853415
KUMBUKA
• Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa
• Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako
• Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako
• Hakikisha kama umesajiliwa kikamilifu kwa kupiga *106#
• Unapotuma pesa, siku zote kumbuka kuhakikisha namba ya mpokeaji kuepuka usumbufu
• Unapofanya muamala kwa wakala utahitajika kuonyesha kitambu-lisho chako
• Baada ya ku swap namba yako ya Vodacom, unaweza kuanza kutumia M-Pesa baada ya masaa 48
• Kupata vigezo na masharti ya kutumia M-Pesa tembelea duka la Vodacom lililopo karibu nawe au www.vodacom.co.tz
• M-Pesa huonyesha salio kwenye SMS ya kila muamala BURE. Endapo utafanya muamala wa kuangalia salio, utatozwa gharama ya Tsh 60
• Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa na huduma ya LIPA KWA SIMU kupitia M-Pesa, utatozwa gharama za kawaida za kutuma pesa kwa wateja waliosajiliwa
• Ada za M-Pesa zilizoainishwa zimejumuisha ushuru wa serikali (Excise duty)
• PIN yako ya M-Pesa ni SIRI yako. Usimpatie mtu yeyote, hata kama ni wakala wa M-Pesa au mfanyakazi wa Vodacom
• Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga
Si mlidai bwana yule ni katili anaonea matajiri, sasa mama amekuja na mfumo wa haki anawapiga spana wote bila upendeleo 😅😅😅 naona anaupiga mwingi sana atatuvusha!Hii ndiyo awamu ya6 chini ya uongozi wa mama samia, yaani ni mwendo wa kuwakomesha maskini adi wanyookee
Wamuache mama afungue nchi[emoji23]Si mlidai bwana yule ni katili anaonea matajiri, sasa mama amekuja na mfumo wa haki anawapiga spana wote bila upendeleo [emoji28][emoji28][emoji28]
Eeh mama anafungua nchi 😅 shenz taipu!