Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Akili huna kabisa. Hivi unaelewa maana ya kodi wewe?

Kodi huwa inakatwa kutoka nini?

Umeshawahi kufanya hata biashara yoyote ambayo TRA wanakukata kodi?

Wanakata kodi kutoka kwenye ulichopata au kwenye faida?

Kama wewe ni mzazi basi watoto wako wameshakula hasara.

Mimi ungekuwa Baba yangu wallah ningeshakulamba viboko siku nyingi. Siwezi kuwa na baba Poyoyo kama wewe.

I rest my case.
Achanae bushman uyo kule kila kitu mterezo wanaangalia wamjini tu
 
Watu wasiende kula Bata ulaya na dubei ama paris na kufanyiwa masaje na watt wakali Kama Hawa.
Afu eti wakukumbuke wewe so unadhani hapo nyuma kulikuwa hakuna sehemu nyingine ya Kodi ya kuyafanya hayo mambo.
Yaani mtu anaiba ama anafuja pesa yetu Ila anadunda mtaani tu.
View attachment 1853953
Mzee baba hii kazi nimeielewa aisee! Nipatie link nitambae na chaki
 
Tumeipenda wenyewe, chaguo letu wenyewe, wacha waisome namba eeeh Makato mbele kwa mbele😂😂😂
 
Kina Mwingulu kusanyeni Fedha mkanunulie Viete na Misafara ya gari 20 kwenda kukata utepe ,Safari za Ndege za Dodoma kila siku kwenda na kurudi.
 
View attachment 1853406
View attachment 1853410
View attachment 1853411
View attachment 1853412
View attachment 1853415

KUMBUKA
• Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa
• Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako
• Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako
• Hakikisha kama umesajiliwa kikamilifu kwa kupiga *106#
• Unapotuma pesa, siku zote kumbuka kuhakikisha namba ya mpokeaji kuepuka usumbufu
• Unapofanya muamala kwa wakala utahitajika kuonyesha kitambu-lisho chako
• Baada ya ku swap namba yako ya Vodacom, unaweza kuanza kutumia M-Pesa baada ya masaa 48
• Kupata vigezo na masharti ya kutumia M-Pesa tembelea duka la Vodacom lililopo karibu nawe au www.vodacom.co.tz
• M-Pesa huonyesha salio kwenye SMS ya kila muamala BURE. Endapo utafanya muamala wa kuangalia salio, utatozwa gharama ya Tsh 60
• Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa na huduma ya LIPA KWA SIMU kupitia M-Pesa, utatozwa gharama za kawaida za kutuma pesa kwa wateja waliosajiliwa
• Ada za M-Pesa zilizoainishwa zimejumuisha ushuru wa serikali (Excise duty)
• PIN yako ya M-Pesa ni SIRI yako. Usimpatie mtu yeyote, hata kama ni wakala wa M-Pesa au mfanyakazi wa Vodacom
• Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga
Ni kilio
 
Yajayo yanafurahishwa Upo tayari?
Vodacom kazi ni kwako.
Mwanzo sikujua maana ya huu msemo
 
Back
Top Bottom