Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wamuache mama awakomeshe MATAGA[emoji23]Eeh mama anafungua nchi [emoji28] shenz taipu!
Jamaa alipokuwa anawacheulisha mafisadi na wahujumu kupitia DPP mlimuona mwendawazimu! Taratibu tutaelewana tu wacha tuoneshane makali!
Alisema swala la katiba wampe mda ajenge uchumi kwanza.Eeh mama anafungua nchi 😅 shenz taipu!
Jamaa alipokuwa anawacheulisha mafisadi na wahujumu kupitia DPP mlimuona mwendawazimu! Taratibu tutaelewana tu wacha tuoneshane makali!
Eh mama anajenga uchumi kwanza kwa double TaxingAlisema swala la katiba wampe mda ajenge uchumi kwanza.
Uchumi wenyewe ndio huu.
Ofcourse spana zitawahusu kwenye kura za wazalendo!Pamoja na Waziri wa Fedha kuipigia debe kodi ya UZALENDO kiuhalisia bila kumumg'unya maneno INAUMIZA Itafika sehemu watu WAUKANE UZALENDO HUU ni wa KUUMIZANA...
GambaAffordable Sana sijaona ukali mkubwa hapo yaani olmost negligible.
Ila watu walivyokuwa wanatutisha sasa utadhani maisha yanaenda kusimama
Hivi kweli wameshindwa kuchukua hela kwenye magesi na madini huko wanakuja kuchukua huku?Affordable Sana sijaona ukali mkubwa hapo yaani olmost negligible.
Ila watu walivyokuwa wanatutisha sasa utadhani maisha yanaenda kusimama
Msukule wa mwendazake katika ubora wako, kwa hali ilivyo ccm inashida kubwa mno, yaani wanakosa ubunifu kabisa wakati wapo wenyewe bungeniMkuu sasa hivi tunapumua baada ya dikteta wako kufariki.
Isitoshe mama anafungua nchi na kurudisha hela mtaani ili tuwe tunaziokota [emoji23][emoji23][emoji23]
Nashauri hii kodi iongezwe mara 100 ili kuwakomoa mataga, sikuma gang na marehemu!
Usijali mkuu!Msukule wa mwendazake katika ubora wako, kwa hali ilivyo ccm inashida kubwa mno, yaani wanakosa ubunifu kabisa wakati wapo wenyewe bungeni
Mama anaupiga mwingiView attachment 1853406
View attachment 1853410
View attachment 1853411
View attachment 1853412
View attachment 1853415
KUMBUKA
• Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa
• Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako
• Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako
• Hakikisha kama umesajiliwa kikamilifu kwa kupiga *106#
• Unapotuma pesa, siku zote kumbuka kuhakikisha namba ya mpokeaji kuepuka usumbufu
• Unapofanya muamala kwa wakala utahitajika kuonyesha kitambu-lisho chako
• Baada ya ku swap namba yako ya Vodacom, unaweza kuanza kutumia M-Pesa baada ya masaa 48
• Kupata vigezo na masharti ya kutumia M-Pesa tembelea duka la Vodacom lililopo karibu nawe au www.vodacom.co.tz
• M-Pesa huonyesha salio kwenye SMS ya kila muamala BURE. Endapo utafanya muamala wa kuangalia salio, utatozwa gharama ya Tsh 60
• Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa na huduma ya LIPA KWA SIMU kupitia M-Pesa, utatozwa gharama za kawaida za kutuma pesa kwa wateja waliosajiliwa
• Ada za M-Pesa zilizoainishwa zimejumuisha ushuru wa serikali (Excise duty)
• PIN yako ya M-Pesa ni SIRI yako. Usimpatie mtu yeyote, hata kama ni wakala wa M-Pesa au mfanyakazi wa Vodacom
• Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga
😆😆😆😆😆 Alaa kwa hiyo huko zipo ni za kuchukua tuu? Ingekuwa hivyo wale wachimbaji wadogo wote wangekuwa matajiri..Hivi kweli wameshindwa kuchukua hela kwenye magesi na madini huko wanakuja kuchukua huku?
Tatizo sio kujenga ,tatizo ni kusikia pale wizara ya hela wanavyozigawana kuanzia asubuhi mpaka jioni, wakati huo waziri mwenye dhamana akiwa kajikausha kama ndafuSasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Mkuu sio uozo ila ndio namna ya kutoka hapa tulipo na kuvuka upande wa pili..Hakuna jambo halipiti Baraza la mawaziri.Kwahio walikubaliana huu uozo