Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Eeh mama anafungua nchi 😅 shenz taipu!

Jamaa alipokuwa anawacheulisha mafisadi na wahujumu kupitia DPP mlimuona mwendawazimu! Taratibu tutaelewana tu wacha tuoneshane makali!
Alisema swala la katiba wampe mda ajenge uchumi kwanza.
Uchumi wenyewe ndio huu.
 
Lakini si tulikubaliana tunajenga uchumi na kutibu madonda ya awamu ya tano? Haya malalamishi yanatoka wapi tena?mama si anaupiga mwingi sana hakuna cha mnyonge wala nani wote tunalipa kodi stahiki huku tukijua kodi ni wajibu wetu na haki yetu.

Sio kama yule aliewafanya matajiri kuishi kama mashetani.
 
Pamoja na Waziri wa Fedha kuipigia debe kodi ya UZALENDO kiuhalisia bila kumumg'unya maneno INAUMIZA Itafika sehemu watu WAUKANE UZALENDO HUU ni wa KUUMIZANA...
Ofcourse spana zitawahusu kwenye kura za wazalendo!
 
Tutazoea na kuona kawaida.

Naiona cashless system kwa mbaaali ili wafutilie mbali watu kutembea na pesa
 
Affordable Sana sijaona ukali mkubwa hapo yaani olmost negligible.

Ila watu walivyokuwa wanatutisha sasa utadhani maisha yanaenda kusimama
Hivi kweli wameshindwa kuchukua hela kwenye magesi na madini huko wanakuja kuchukua huku?
 
Mkuu sasa hivi tunapumua baada ya dikteta wako kufariki.

Isitoshe mama anafungua nchi na kurudisha hela mtaani ili tuwe tunaziokota [emoji23][emoji23][emoji23]

Nashauri hii kodi iongezwe mara 100 ili kuwakomoa mataga, sikuma gang na marehemu!
Msukule wa mwendazake katika ubora wako, kwa hali ilivyo ccm inashida kubwa mno, yaani wanakosa ubunifu kabisa wakati wapo wenyewe bungeni
 
Asking for a friend.
Hili ongezeko Ni kwetu tu au hata Wana CCM inawahusu?
 
Msukule wa mwendazake katika ubora wako, kwa hali ilivyo ccm inashida kubwa mno, yaani wanakosa ubunifu kabisa wakati wapo wenyewe bungeni
Usijali mkuu!
.
Hiyo kodi inawahusu mataga, sukama gang na marehemu tu!

Nyie kwa sasa mnapumua baada ya dhalimu wenu kufariki
 
View attachment 1853406
View attachment 1853410
View attachment 1853411
View attachment 1853412
View attachment 1853415

KUMBUKA
• Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa
• Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako
• Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako
• Hakikisha kama umesajiliwa kikamilifu kwa kupiga *106#
• Unapotuma pesa, siku zote kumbuka kuhakikisha namba ya mpokeaji kuepuka usumbufu
• Unapofanya muamala kwa wakala utahitajika kuonyesha kitambu-lisho chako
• Baada ya ku swap namba yako ya Vodacom, unaweza kuanza kutumia M-Pesa baada ya masaa 48
• Kupata vigezo na masharti ya kutumia M-Pesa tembelea duka la Vodacom lililopo karibu nawe au www.vodacom.co.tz
• M-Pesa huonyesha salio kwenye SMS ya kila muamala BURE. Endapo utafanya muamala wa kuangalia salio, utatozwa gharama ya Tsh 60
• Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa na huduma ya LIPA KWA SIMU kupitia M-Pesa, utatozwa gharama za kawaida za kutuma pesa kwa wateja waliosajiliwa
• Ada za M-Pesa zilizoainishwa zimejumuisha ushuru wa serikali (Excise duty)
• PIN yako ya M-Pesa ni SIRI yako. Usimpatie mtu yeyote, hata kama ni wakala wa M-Pesa au mfanyakazi wa Vodacom
• Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga
Mama anaupiga mwingi
 
Tigopesa,mpesa ndo byebye
Wale wa tuma na ya kutolea kama nawaona!
 
Hivi kweli wameshindwa kuchukua hela kwenye magesi na madini huko wanakuja kuchukua huku?
😆😆😆😆😆 Alaa kwa hiyo huko zipo ni za kuchukua tuu? Ingekuwa hivyo wale wachimbaji wadogo wote wangekuwa matajiri..

Hakuna pesa ya bure hapa Duniani
 
Sasa tutajengaje nchi yetu kama hatutaki kuumia kidogo kea maendeleo yetu. Tukubaliane tu mambo mwisho yatakuwa sawa. Mbaya tune kusikia escrow,meremeta nk . Hamna jinsi tuswe wazalendo tu.
Tatizo sio kujenga ,tatizo ni kusikia pale wizara ya hela wanavyozigawana kuanzia asubuhi mpaka jioni, wakati huo waziri mwenye dhamana akiwa kajikausha kama ndafu
 
Kwahio walikubaliana huu uozo
Mkuu sio uozo ila ndio namna ya kutoka hapa tulipo na kuvuka upande wa pili..Hakuna jambo halipiti Baraza la mawaziri.

Ni wajibu wa maccm na Serikali yao kueleza watu kwa nini wameongeza hizo tozo yaani ni kama Mwendazake alivyokuwa anawaambia watu hakuna mjomba wa kuleta maendeleo,ni lazima kodi zilipwe .

Hadi sasa toka mafuta na tozo za mitandao kuongezeka sijaona Bar zikipungua watu wala mafundi cherehani kukosa wateja wa nguo au bajaj na daladala kupandisha nauli.

Ukifuata habari za mitandaoni unaweza dhani huko mtaani ni kama maisha hayaendi kumbe harusi na party zinaendelea kama kawa.

Ushauri wa bure wewe kama ni local fundi Kazi ni nyingi sana,kama ni mkandarasi wa barabara huko ndio kabisaa utashindwa mwenyew..

Madam President na Mwigulu nimewaelewa Sana,usipotoka saizi ndio basi tena anaweza kuja mwehu mwingine ikawa noma.
 
Tunataka kuongeza posho na kiinua mgongo kwa wabunge, lazima tuanze leo kuwakamua
 
Back
Top Bottom