Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

sasa naanza kuelewaa ni kwanini mwendazake alikuwa anamchukia mwiguluu, ona sasa anamwingiza rais cha kike
 
Tutazoea na kuona kawaida.

Naiona cashless system kwa mbaaali ili wafutilie mbali watu kutembea na pesa
Kwa makato ya elfu 35 kutuma na Kutoa million 1,
Ni Bora nipande bus niipeleke pesa mwenyewe Dar-moro
 
Kuna mtu nataka nimtumie 1M lakin had sahiv nawaza hayo makato ni makubwa sana bora nipande gar nitoke Arusha nimpelekee moshi kwenda na kurud itanigharim 5,000 tu nitakua nimeokoa 9,000 nzima yan kwa Mara nyngne nazid kuiona hii serekal n ya kiQumar
 
Hali tete saivi ukienda kwa wakala ni kutoa tu pole siyo pesa tena😂😂
 
Endeleeni kumsifu "mama"[emoji23][emoji23][emoji23]

Msiwe wepesi wa kushangilia, it was too early! Mmeona Sasa Hali ilivyo[emoji23]

Mama yenu kila siku route ya Dodoma to Dar!
Kaigeuza Boeng kuwa daladala halafu anakwambia ndege zinaliletea taifa hasara. Hasara haitaisha Kama ndege ya kubeba abiria 262 wanapanda watu 10 kuzurula nayo.

Katiba nayo ameikataa japo mlitegemea atakubali!
 
Nauli za mabasi toka Dar kwenda mikoani zimepanda. Gharama za kukodi malori ya mizigo zimependa.

Bidhaa karibu zote za electronics Kariakoo zimepanda sana.
Hizo nauli zilipanda toka kipindi cha mwendazake walipoanzisha risiti za kielektoniki kwa hiyo hakuna jipya.Kwanza hata kama zimepanda ongezeko halizidi 5,000..

Nikajua unasema vyakula vimepanda kumbe ni bidhaa kama sabufa 😀 😀 😀 .Saruji bei iko vile vile,mabati yalipanda toka mwaka jana kwa hiyo hakuna jipya hapo mkuu.
 
Mwigulu ni striker wa SSH!!! Wameamua kuupiga was kutosha aisee...
 
Pole mkuu, ungeongea kwa huzuni kubwa sana, laiti maneno yako haya yangemfikia Mh. Rais SSH, walau naye angehuzunika. Sasa anaoongea nao wao hawasikitiki.
 
Vitaje hapa
Mimi niliona ni bora hiz tozo wangeongeza ktk huduma ambazo sio za kutuma na kutoa ingekua ukiangalia salio ndio waweke tozo kias fulan ,au ukilipia huduma fulan kuwe na tozo ,au ukinunua umeme kuwe na tozo fulan pia kuna huduma ambazo serikal inapokea malipo kupitia sim ndio wangeweza iz tozo ata kama sio kias king kama hik ila maumivu yangepungua ,pia kuna huduma za kitamtandao ambazo watu weng wameongea tanzania bado haijaingia wangeleta izo ili ipatikane kod ukichanganya na tozo fulan lengo lako kwa kias fulan lingetimia ,mbona rea wanakata ktk umeme tu aizd ad mia 200 na matokeo tunayaona ,ili walilolifanya si muda mref ajira za watu zinaenda kupitia misukosuko hususan mawakala na mitandao ,hiv kwel elf 20 ikakatwe 2800 apo apo uyo alietuma elf 20 kashakatwa karbu 1500 huu ni ubinafs ktk nchi ambayo waajiliwa ni wachache kuliko waangaikaj ukafanye jambo kama ili ni uonevu kwa sababu hawana cha kufanya

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu muna roho ngum sana na ubinafs ,usimuonee mtu kisa hana cha kukufanya au kuamua ,kujaa kwa bar au nn ndio iwe kigezo cha kuamua lolote ww ushaenda kuwauliza hao wanaojaa bar kaz zao au nafas zao au ushajua hao uliowaona bar izo ela wameanza kuzitafuta lin ,aya ni mambo ya kujiangalia ww na nafas yako ndio yanatufikisha uku watu wangap ni wakandaras kama unavyosema ,ebu firia kutoa kutoa lak moja 3,600 ad elf 6 karbu mia tatu iyo iliyozd apo si ilimtosha bib yang kununua sukar kilo akatumia wik nzima,au tujiulize wametuongezea makato je wamefanya nn au jitihada gan kutuongezea sisi kipato unataka kumkamua maziwa ng'ombe ambae haumpi malisho utamuumiza tu ata kama ataish

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…