Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

The problem is " tunalalamika tu, bila kuchukua hatua". Kuna wakati mwingine me naona ni Bora kukaa kimya kuliko kupiga kelele zisizo na faida. I hate kuzaliwa at this era in this country, natamani ningezaliwa huko mbeleni at the future kwasabab najua kuna wakati utafika katika hii nchi watanzania hawatakubali kuchezewa na serikali yao, kwasabab serikali ikifanya mambo ambayo si sawa basi wataandamana ama wataweka migomo yoyote ile kuachiria kuchukizwa kwao katika hilo jambo. Ila kwa sasa tubaki tu kuumia na kuugulia chini kwa chini kwasabab hakuna namna. "Watanzania tunachezewa mno". Hii inchi imefika hapa kwasabab ya ujinga wetu ulio na woga ndani yake na kuchangiwa na wengi wetu kukosa elimu.
 
Acha upuuzi sasa hapo ndio umeandika nini? Umeonewanwapi wewe unalia lia kama mwanamke.Kwa hiyo hutaki kulipa kodi akulipie nani?
 
God have mercy on us!

Tutamkumbuka Mwendazake aisee.. this is insane!
 
[emoji23] nadhani sasa tunaelewana tunaposema CCM ni takataka na hawajawahi kuwa na akili.. Yaani unalipa ada ya kampuni ya simu halafu kuna Tozo ya serikali...

ANAUPIGA MWINGI MPO? Au bado mnakenua kenua tu ...
 
Kote huko unakokusema tozo zinakuja kama hazipo mtasaidia sana serikali.Unazungumzia luku ambayo mlikuwa mnalia lia juzi tuu hapo.

Unataka raha na maendeleo parallel? unachekesha lazima uumie upande mmja ili kupata kingine.Ni hivi hakuna wajomba wa kukuletea maendeleo,ndio maana Mwendazake alikuwa anawapora pesa kwenye account maana hamtaki kulipa kodi halali ila huduma zikikosekana kazi kulaumu na kukosoa.

Ni hivi hapo ulipo utakuta huwa hutoi risiti kwa wateje wanaonunua au hudai lisiti ukinunua afu unataka serikali itoe wapi pesa kama huwajibiki? Kwa njia kama hizi ambazo kila mtu anatumia ndio safi serikali kukusanya pesa maana hakuna kukwepa ,hii inafidia kule amabako hujawajibika.Serikali kamatia hapo hapo maana hakuna cha tajiri wala maskini unalipa kulingana na matumizi.
 
[emoji23] nadhani sasa tunaelewana tunaposema CCM ni takataka na hawajawahi kuwa na akili.. Yaani unalipa ada ya kampuni ya simu halafu kuna Tozo ya serikali...

ANAUPIGA MWINGI MPO? Au bado mnakenua kenua tu ...
Ada ipi ya kampuni unayolipa wewe? acha ukenge ni unalipa tozo wewe mtumiaji ,kampuni ni channel ya kupitishia,nao wana kodi zao
 
Yani kupeleka hela kwa mteja asiesajiliwa ie 500000/tzs ni 15400 tzs.

duuh.

Ndio kusema nikiweka 500000 kwenye simu.

Sio yangu yote?
Tumia bank mkuu hawa watu wanataka kukomba pesa zetu
 
2025 wapinzan washindwe kuchukua nchi tu goli lipo waz kabisa hata kwa ulimi unafunga yan unapunguza tozo kweny kamari unaongeza kweny mambo yanaogusa wanyonge kwa upepo huu siasa ni nyepes sana 2025 huenda na mm nikapanda jukwaan kabisa
 
Me naona bado haya makato ni madogo sn yalipaswa yaongezwe ili miradi yetu iliyoanzishwa na jiwe iishe haraka,

Mama bado anaupiga mwingi.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Usijali mkuu!
.
Hiyo kodi inawahusu mataga, sukama gang na marehemu tu!

Nyie kwa sasa mnapumua baada ya dhalimu wenu kufariki
Mzee kubali jamaa ameshaenda na lazima maisha yaendelee,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…