Ramsy Dalai Lama
Senior Member
- Apr 5, 2021
- 156
- 554
The problem is " tunalalamika tu, bila kuchukua hatua". Kuna wakati mwingine me naona ni Bora kukaa kimya kuliko kupiga kelele zisizo na faida. I hate kuzaliwa at this era in this country, natamani ningezaliwa huko mbeleni at the future kwasabab najua kuna wakati utafika katika hii nchi watanzania hawatakubali kuchezewa na serikali yao, kwasabab serikali ikifanya mambo ambayo si sawa basi wataandamana ama wataweka migomo yoyote ile kuachiria kuchukizwa kwao katika hilo jambo. Ila kwa sasa tubaki tu kuumia na kuugulia chini kwa chini kwasabab hakuna namna. "Watanzania tunachezewa mno". Hii inchi imefika hapa kwasabab ya ujinga wetu ulio na woga ndani yake na kuchangiwa na wengi wetu kukosa elimu.