Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Mchungaji Erasto anasema kama kuna pongezi au lawama kuhusiana na Tozo za miamala ya simu basi zimuended muasisi wa Tozo hizo mbunge wa Ilala mh Zungu.

Hizo ni tozo za Zungu amesema.
 
Bei mpya za miamala ya kutuma na kutoa pesa linatoa picha mbaya serikali.
1. Serikali haiko na wananchi
2.serikali ingekuwa karibu na wananchi ingejua wananchi wana HALI GANI.
Hizo bei ni kubwa haikubaliki.
Mfano kutuma TSH 100000/= tunduma nikiwa mbeya
Kutuma= 3000
Kutoa = 7000
Jumla. = 10000
Maana yake:- nilitaka kutuma TSH 100000 nilazima niwe na zaidi ya TSH 110000.
Maana yake nini.
Maana yake ni hii hapa chini:-
Mbeya tunduma nauli = TSH 4000
Tunduma MBEYA
Nauli= TSH 4000
Kwanini hiyo hela nisipeleke mwenyewe nikaokoa TSH 2000.
Au nikampa dereva TSH 4000 anipelekee.
Hili jiwe tutakwepa.
Tutatumia mtandao ambao siyo rasmi wa mabasi ambao ulikuwapo hata kabla ya mpesa.
they dont care, huyo unayemwambia asitishe ndio huyo aliyezileta. hana akili, uwezo umefika mwisho. hayupo pampja na wananchi. why? kwa sababu huwezi kumfanya lolote. kama Kheri James alivyosemaga kuwa hamuwezi kutufanya lolote kudadeki zenu.

kiufupi bunge ni la mwendazake wengi pale wanajua hawajashinda wapo kwa sababu ya meko
 
Kulipa kuwapa pesa zetu hawa ubunifu utapatikana tu

Screenshot_20210716_105628.jpg
 
Aliposema mtanikumbuka mlimtukana na kumuita majina mabaya...
 
Biashara zinaenda kufa
Serikali haujui mobile money bussines inafayaje kazi.
Anayelipa hiyo VAT kwenye miamala pesa mtandao ni mlaji wa mwisho.
Sasa hiyo kodi nyingine inaitwaje .
Hivi ni kwanini haya yatokee?
Kama kuna upungufu wa mapato ya serikali mbona ni rahisi kupunguza mishahara na posho za wabunge?
 
Bei mpya za miamala ya kutuma na kutoa pesa linatoa picha mbaya serikali.
1. Serikali haiko na wananchi
2.serikali ingekuwa karibu na wananchi ingejua wananchi wana HALI GANI.
Hizo bei ni kubwa haikubaliki.
Mfano kutuma TSH 100000/= tunduma nikiwa mbeya
Kutuma= 3000
Kutoa = 7000
Jumla. = 10000
Maana yake:- nilitaka kutuma TSH 100000 nilazima niwe na zaidi ya TSH 110000.
Maana yake nini.
Maana yake ni hii hapa chini:-
Mbeya tunduma nauli = TSH 4000
Tunduma MBEYA
Nauli= TSH 4000
Kwanini hiyo hela nisipeleke mwenyewe nikaokoa TSH 2000.
Au nikampa dereva TSH 4000 anipelekee.
Hili jiwe tutakwepa.
Tutatumia mtandao ambao siyo rasmi wa mabasi ambao ulikuwapo hata kabla ya mpesa.
Cha ajabu kwao hamna mabadiliko ya ajabu kama kwa wengine!
A9B0CE44-9DFB-488E-A02F-3FE664ED25C7.jpeg
 
Siku si nyingi yule mama atajitokeza akipinga vikali hizi tozo mpya na watu mtamshangilia kweli mkimuita shujaa .. ndo walivyo hutengeneza tatizo kisha wanalitatua wao wenyewe ..
 
Kumbuka ile guest ni starehe sio sawa na haya makato ya kipuuzi! Starehe mtu anafanya willingly na kwa gharama zote tena ile ndio ingefaa iitwe solidarity fund na ipigiwe kampeni kabisa watu wangeinjoy kuilipa kupitia stimu za bia!

Ndio maana nikasema hawa wapanga kodi hawana akili hizo kodi wangepeleka maeneo ya starehe sio kwenye vitu vya lazima! Huko wangepata nyingi tu waongeze kodi ya bia na vinywaji sio kuingiza kodi kwenye miamala!
Guest mbona hamlalamiki na mnakaa masaa machache tu? Tena hapo hapo Dar,?
 
Back
Top Bottom