Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

Daaah hii filamu itakuwa kali Sana,
 

Kweli Ni akili kubwa maana sikujua Kama yeye producer
 
Hii Royal Tour itatulipa tu lazima ni swala la muda,
 
Kaziindelee, Royal Tour Film italipa sana hapo baadae
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 

..suluhisho ni watalii wa ndani.

..yaani Watz wenyewe wawe na uwezo na utamaduni wa kutalii.
 
Ubovu uko wapi mkuu?
Kwa miaka mingi tour guides wamekuwa watu fulani tu waliojitolea hawana taaluma yoyote na walikuwa siyo kundi rasmi. Wengine wezi, wengine lugha kali kwa watalii na wengine wavuta bangi.

Ukija kwenye hizi kampuni za kusafirisha watalii kwenye mbuga za wanyama nako kuna vurugu mechi.

Njoo serikalini kwenyewe Kodi kwa mtalii zilivojazana
 
Reactions: Lee
Hii hoja ni ya muhimu sana,

Waziri atakumbushwa hili
 
 
Kaziindelee Tanzania
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…