Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
- Thread starter
- #81
DaaahTz ilivyo na wajinga wengi (maccm) ni utalii tosha, wake wajionee maccm yasiyo na akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaaahTz ilivyo na wajinga wengi (maccm) ni utalii tosha, wake wajionee maccm yasiyo na akili
Daaah hii filamu itakuwa kali Sana,Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,
Stealing wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.
Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,
#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa,
View attachment 2055514
Tatizo liko wapi?Promo zimetosha wajameni, kizuri chajiuza! Maana huu ni uzi wa 3 leo tu nimeona
Anaushamba tu,Lipi limekufanya uone wakenya Wana akili
Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,
Starling wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.
Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo baadae,
#Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa,
View attachment 2055514
RightHakuna sehemu waliposema Kenya imeizidi Tanzania kwenye Mapato ya utalii..
Kwa hiyo hii video ndio itatuletea watalii milioni tano? Sitaki kununa lakini unafahamu vitu vinavyomfanya mtalii achague destination? Hii video hatujui imegharimu kiasi gani kuitengeneza lakini tunazo video zaidi ta 500 zinazoeleza utalii wa Tanzania. Wenzetu Austria jiji la Salsburg wanapokea watalii zaidi ya milioni tatu kwa sababu tu ni home of Mozart pale nyumbani kwa Mozart zinapigwa nyimbo zake mfululizo masaa 24 kwa mwaka mzima. Sisi kama tupo serious tunaweza kumtumia marehemu Nyerere kutuletea watalii lukuki hasa utalii wa educational. Nyerere ni holder wa PhD nyingi honorary kutoka vyuo mbali mbali duniani tutumie hiyo fursa. Utalii sio wanyama na mbuga tu mfano ni huo wa Salsburg na Mozart pia kuna nyumba ndogo sana imehifadhiwa nyumbani kwao Adolf Hitler hii ni kivutio kikubwa sana kiasi cha watalii zaidi ya milioni mbili hutembelea hapo kwa mwaka. Utalii sio kubahatisha ni taaluma
Nakubaliana na wewe 100%..suluhisho ni watalii wa ndani.
..yaani Watz wenyewe wawe na uwezo na utamaduni wa kutalii.
Kwa miaka mingi tour guides wamekuwa watu fulani tu waliojitolea hawana taaluma yoyote na walikuwa siyo kundi rasmi. Wengine wezi, wengine lugha kali kwa watalii na wengine wavuta bangi.Ubovu uko wapi mkuu?
Hii hoja ni ya muhimu sana,Kwa miaka mingi tour guides wamekuwa watu fulani tu waliojitolea hawana taaluma yoyote na walikuwa siyo kundi rasmi. Wengine wezi, wengine lugha kali kwa watalii na wengine wavuta bangi.
Ukija kwenye hizi kampuni za kusafirisha watalii kwenye mbuga za wanyama nako kuna vurugu mechi.
Njoo serikalini kwenyewe Kodi kwa mtalii zilivojazana
Hata Kama ukiliona huwezi kulitambuaSijaona jipya hapo
Kwa hiyo hii video ndio itatuletea watalii milioni tano? Sitaki kununa lakini unafahamu vitu vinavyomfanya mtalii achague destination? Hii video hatujui imegharimu kiasi gani kuitengeneza lakini tunazo video zaidi ta 500 zinazoeleza utalii wa Tanzania. Wenzetu Austria jiji la Salsburg wanapokea watalii zaidi ya milioni tatu kwa sababu tu ni home of Mozart pale nyumbani kwa Mozart zinapigwa nyimbo zake mfululizo masaa 24 kwa mwaka mzima. Sisi kama tupo serious tunaweza kumtumia marehemu Nyerere kutuletea watalii lukuki hasa utalii wa educational. Nyerere ni holder wa PhD nyingi honorary kutoka vyuo mbali mbali duniani tutumie hiyo fursa. Utalii sio wanyama na mbuga tu mfano ni huo wa Salsburg na Mozart pia kuna nyumba ndogo sana imehifadhiwa nyumbani kwao Adolf Hitler hii ni kivutio kikubwa sana kiasi cha watalii zaidi ya milioni mbili hutembelea hapo kwa mwaka. Utalii sio kubahatisha ni taaluma
Move kali mno aiseNimeiyona mkuu yaani video yake umeiweka inaonekana vizuri Sana.
Kaziindelee TanzaniaCheck filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani,