PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Akikubali kustaafu kwa heshima ataishi kwa amani na furaha. Akilazimisha itamlazimu kuumiza watu wengi zaidi, na kila unayemgusa huyo ni potential enemy kunzia wakati huo. Maadui wakiwa wengi sana hauwezi ku survive madarakani.
Kwa hiyo afuate falsafa yako ya "Ogopa uishi"?
 
Yaani wenzake wamemuacha mpweke utadhani kafanya kosa gani sijui! Kutetea ngedere ni tatizo kubwa.Asikate tamaa.Awategee ndati au mbula kwenye chupa yenye shingo nyembamba,atawakamata wanafiki wake.
Kwakweli nimejiskia vibaya sana ..Yan kama outsider flan , ila fresh akae na wananchi wake na huyo ndie mbunge wao WA ukweli kabisa anayewafaa kwa miaka mingine hata 10 inayokuja ..mbanga za kujionesha awaachie wengine wanvyofanya mana wabunge wengine ndio hao wanaotaka kupewa plate namba za kwao au wenza wao kupita vip kama wao...wengine hata kushuka kwenye gari ama kujichanganya na wananchi wanaona kinyaa hawajiamini mana wanajua hakuna wanalofanya zaidi ya kusifu na kuabudu miungu ...
 
Maneno mema sana.
 
Narudia tena haya Magenge ambayo yanajiita Vyama yataendelea kuteketeza Mawazo Mbadala (Muhimu sana Kuleta Wagombea Binafsi) hivi vyama vishakuwa Magenge....

 
Mh. Rais ashariiwe aache kufanya personification si sawa kwa kiongozi wa kitaifa. Hapo ameshamfanyia character assassination mwenzake na kwakua ana power kubwa kuliko huyo mwanasiasa mwenzake...Angemwacha wananchi waamure kama anafaa au laa, kuwalazimisha raia waliomvhagua wamwone jinsi amonavyo yeye si sawa hasa kwakua yeye ni kiongozi wa kitaifa
 
Mpina kavuruga ziara yote, Mama anaenda kulala na viatu leo, Wallah Wabhillah!
Tatizo ni kuwa ''kila mtu anashughulikiwa kwa wakati wake'' na wengine wanabaki kimya. Huu udhaifu unatumiwa sana na ma-dikteta. Nina uhakika CCM bado kuna wengine watalia kilio cha mbwa kipindi cha uteuzi wa nafasi za ubunge. Yule Mwita aliyekuwa CHADEMA akatoka kwa mbwembwe na kupewa ubunge ameshaanza kulia-lia. Mwingine ni Gambo!
 
Jamaa anajuaga kulia kweli...mwita Gani analialia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…