Tazama pamoja na ubunifu wote huu wachina wanauza 200; Je kibongo tungeunda tungeuza bei gani?

Tazama pamoja na ubunifu wote huu wachina wanauza 200; Je kibongo tungeunda tungeuza bei gani?

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
791
Reaction score
1,852
Kuna hizi pipi za watoto!

Ziko ndani ya vigari vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili)

Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigari, muda, kiwanda cha kuunda kigari, uweke matairi halafu ujeuweke pipi halafu uuze mia mbili inatafakalisha.

Hapo kwa jumla huenda wanauza kwa tsh 50 kutoka kiwandanj, wachuuzi wanauza kwa 100 hadi kufika mtaani ndo mia 200

Kwa ubunifu huu hiki kinafaida kuuzwa 200?
Tutaweza kushinda na wachina kwa hali hii? Akili zetu zinaweza kweli mambo haya?
17492786413764493925552559862314.jpg
 

Attachments

  • 17492787534421515850038607704047.jpg
    17492787534421515850038607704047.jpg
    1 MB · Views: 28
Kuna hizi pipi za watoto!

Ziko ndani ya vigali vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili)

Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigali, muda, kiwanda cha kuunda kigali halafu uweke pipi halafu uuze mia mbili inatafakalisha.

Hapo kwa jumla huenda wanauza kwa tsh 50 kutoka kiwandanj, wachuuzi wanauza kwa 100 hadi kufika mtaani ndo mia 200

Kwa ubunifu huu hiki kinafaida kuuzwa 200?
Tutaweza kushinda na wachina kwa hali hii?View attachment 3358852
Nianze na tatizo kubwa kabisa lenye kutia aibu katika post yako i.e. ''vigali''. Haviitwi ''vigali'' bali vigari. Pili: bidhaa za mchina ni za kuangalia mara mbili mbili. Hawa watu huwa hawajali sana mambo ya usalama wa mlaji bali zaidi hujali fedha.
 
Kuna hizi pipi za watoto!

Ziko ndani ya vigari vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili)

Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigari, muda, kiwanda cha kuunda kigari, uweke matairi halafu ujeuweke pipi halafu uuze mia mbili inatafakalisha.

Hapo kwa jumla huenda wanauza kwa tsh 50 kutoka kiwandanj, wachuuzi wanauza kwa 100 hadi kufika mtaani ndo mia 200

Kwa ubunifu huu hiki kinafaida kuuzwa 200?
Tutaweza kushinda na wachina kwa hali hii? Akili zetu zinaweza kweli mambo haya?View attachment 3358852
Hicho kigari na hizo pipi ni hatari kwa afya ya watoto wako. Nia yao ni kuharibu kizazi cha watoto wa kiafrika. Ziepuke
 
Back
Top Bottom