Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Huyo anayeanza kula vitu kutoka kwenye plastic atakuwa mwehu au mtoto asiyeelewa kitu.Wataelekezwa.BPA kutoka kwenye plastic cars ni simu kwa binadamu
Huyo anayeanza kula vitu kutoka kwenye plastic atakuwa mwehu au mtoto asiyeelewa kitu.Wataelekezwa.BPA kutoka kwenye plastic cars ni simu kwa binadamu
Hahah Wewe kwahiyo unajua? Nchi yetu ina vijana wajuaji balaa!Wewe hata kuandika hujuwi,alafu unauliza tatizo liko wapi...like serious???
Nini ushauri wako katika hili mkuuNgumu kushindana nao kwa mazingira yetu
watu wanakula visungura sembuse pipi za 200?Huyo anayeanza kula vitu kutoka kwenye plastic atakuwa mwehu au mtoto asiyeelewa kitu.Wataelekezwa.
Unamuelezea mlevi/mnywaji/intoxicated one!?Hoja nyingine hiyo.watu wanakula visungura sembuse pipi za 200?
Economy of scale , sisi ni Mazezeta , hatuna akili hii .Kila nikiangalia wafanyabishara uchwara wa Bongo hapa , yanaona ufahari kuuza vitu ovyo kwa bei kubwaKuna hizi pipi za watoto!
Ziko ndani ya vigari vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili)
Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigari, muda, kiwanda cha kuunda kigari, uweke matairi halafu ujeuweke pipi halafu uuze mia mbili inatafakalisha.
Hapo kwa jumla huenda wanauza kwa tsh 50 kutoka kiwandanj, wachuuzi wanauza kwa 100 hadi kufika mtaani ndo mia 200
Kwa ubunifu huu hiki kinafaida kuuzwa 200?
Tutaweza kushinda na wachina kwa hali hii? Akili zetu zinaweza kweli mambo haya?View attachment 3358852
Hiyo ni mold, kama umewahi deal na bidhaa za viwandani Mold ndio ina gharama kubwa, ukisha design mold iliobakia hapo ni plastic tu ambayo inapatikana kwa wingi na bei rahisi.Kuna hizi pipi za watoto!
Ziko ndani ya vigari vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili)
Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigari, muda, kiwanda cha kuunda kigari, uweke matairi halafu ujeuweke pipi halafu uuze mia mbili inatafakalisha.
Hapo kwa jumla huenda wanauza kwa tsh 50 kutoka kiwandanj, wachuuzi wanauza kwa 100 hadi kufika mtaani ndo mia 200
Kwa ubunifu huu hiki kinafaida kuuzwa 200?
Tutaweza kushinda na wachina kwa hali hii? Akili zetu zinaweza kweli mambo haya?View attachment 3358852
Wewe ambaye sie Zezeta unafanya biashara gani na mafanikio yako ni yapi?Economy of scale , sisi ni Mazezeta , hatuna akili hii .Kila nikiangalia wafanyabishara uchwara wa Bongo hapa , yanaona ufahari kuuza vitu ovyo kwa bei kubwa
Hilo la usalama ni kweli kabisa, Ndio maana ujinga kama huo huwezi kuona nchi zinazojielewa.Nianze na tatizo kubwa kabisa lenye kutia aibu katika post yako i.e. ''vigali''. Haviitwi ''vigali'' bali vigari. Pili: bidhaa za mchina ni za kuangalia mara mbili mbili. Hawa watu huwa hawajali sana mambo ya usalama wa mlaji bali zaidi hujali fedha.
Kuna hizi pipi za watoto!
Ziko ndani ya vigari vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili)
Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigari, muda, kiwanda cha kuunda kigari, uweke matairi halafu ujeuweke pipi halafu uuze mia mbili inatafakalisha.
Hapo kwa jumla huenda wanauza kwa tsh 50 kutoka kiwandanj, wachuuzi wanauza kwa 100 hadi kufika mtaani ndo mia 200
Kwa ubunifu huu hiki kinafaida kuuzwa 200?
Tutaweza kushinda na wachina kwa hali hii? Akili zetu zinaweza kweli mambo haya?View attachment 3358852
Mamlaka zipo kazini mkuu!Hilo la usalama ni kweli kabisa, Ndio maana ujinga kama huo huwezi kuona nchi zinazojielewa.
Hapo sio salama kwa watoto wadogo maana kuna small particles ambapo wanaweza kumeza
Ila sisi kuangalia huko ni ngumu sana kwa sababu hakuna anaejali
Hah hizi ni pipi za kutafuna (bublishi)Kwa lugha za mtaani ukitaja neno "kipipi" inaeleweka kwenye yale mambo yetu...
Sasa sijui hata hicho nacho shughuli yake ni hiyo hiyo?
Bila Serikali kutushika mkono ni ngumuNini ushauri wako katika hili mkuu
Si ndo ishatoa mikopo ya vikundi halmashauri wewe hujachukua?Bila Serikali kutushika mkono ni ngumu
Hah hizi ni pipi za kutafuna (bublishi)
SijapataSi ndo ishatoa mikopo ya vikundi halmashauri wewe hujachukua?
Nenda halimashauri wambie wakupe haki yakoSijapata