Tazama pamoja na ubunifu wote huu wachina wanauza 200; Je kibongo tungeunda tungeuza bei gani?

Wafanyabiashara wa bongo wanafanya maisha yanakuwa magumu ,washamba kupenda kujisifia tu kwa ujinga.
 
Wachina wanatumia kanuni ya uza rahisi uuze mara nyingi.
Hata kwenye mfumo wa kodi nchini tungetoza kodi kidogo tungekusanya kodi mara kumi ya kodi ya sasa.
Na sio hii komozi hazitotosha forever
 
Nianze na tatizo kubwa kabisa lenye kutia aibu katika post yako i.e. ''vigali''. Haviitwi ''vigali'' bali vigari. Pili: bidhaa za mchina ni za kuangalia mara mbili mbili. Hawa watu huwa hawajali sana mambo ya usalama wa mlaji bali zaidi hujali fedha.
Na haswa bidhaa wanazouzia wengine(nje ya nchi).
 
Hapo mchawi ni molding tu(kiundio) usihadaike sana.Hiyo molding hata ilimgharimu milioni mia moja na inafuatia mamia ya hivyo vidubwana yeye itamlipia tu.Mwisho wa siku hata UKI imagine pili itauza bei gani na Wateja wakuu ni Watoto?.
 
Thamani pamoja na ubunifu 200 kweli?
 
Thamani pamoja na ubunifu 200 kweli?
Nimesema gharama ipo kwenye molding machine.Ni kama photocopy machine inauzwa milioni mbili unatoa copy kwa sh hamsini au mia mia.Aliyemaliza kazi kubwa ni aliyebuni mashine.Ni juu ya mbunifu kupima kazi inayotakiwa kufanya hiyo mashine anayobuni kama bidhaa bei zake ndio hizo mia mia basi ni kwamba ameshafanya tathmini akajiridhisha la sivyo asingeunda hiyo mashine.Hilo ni moja pili kuna Mchangiaji hapo juu katoa angalizo la usalama,ni juu ya Mamlaka za nchi kujiridhisha na hizo bidhaa maana kuna usemi maarufu wa kizungu unasema "too good to be true". na ule wa kwetu "ya bure ghali".
 
Duh
 
Back
Top Bottom