Tazama pamoja na ubunifu wote huu wachina wanauza 200; Je kibongo tungeunda tungeuza bei gani?

Tazama pamoja na ubunifu wote huu wachina wanauza 200; Je kibongo tungeunda tungeuza bei gani?

Wala hata haziudwi ni molding tu ya cheap plastic tena sumu kabisa kwakuwa haina viwango na watoto wanatia mdomoni
 
Kuna hizi pipi za watoto!

Ziko ndani ya vigari vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili)

Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigari, muda, kiwanda cha kuunda kigari, uweke matairi halafu ujeuweke pipi halafu uuze mia mbili inatafakalisha.

Hapo kwa jumla huenda wanauza kwa tsh 50 kutoka kiwandanj, wachuuzi wanauza kwa 100 hadi kufika mtaani ndo mia 200

Kwa ubunifu huu hiki kinafaida kuuzwa 200?
Tutaweza kushinda na wachina kwa hali hii? Akili zetu zinaweza kweli mambo haya?View attachment 3358852
Wanatumia plastiki za kuokota.
 
Mmeambiwa mtafute hela, tabora siyo mahali pa kuishi, lile ni shamba la tumbaku
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
Anachoweza mweusi ni KUHARIBU sio KUTENGENEZA
Juzi nimepita mahali nimekuta jamaa kavamia chanzo oevu cha maji kajenga mabwawa anafuga samaki! hana habari na matokeo ya bdae ya anachokifanya. hiyo ndio akili ya mweusi.
 
Hawa jamaa wamepiga hatua sana katika teknolojia kiasi kwamba wanatumia mda mchache sana kufanya uzalishaji. Na hii imepelekea bei za bidhaa zao kuwa chini sana na huku bidhaa zao bado kuwa na ubora wa hali ya juu. Hii mifuko ya magufuli tuna nunua shilingi 500tzs mpaka 1000 na hii tu ni sababu ya kusapoti local production lakini tukiwa ruhusu hawa jamaa watengeneze hii mifuko na bidhaa nyingine alikes i believe bei inaweza shuka sana . Jambo la msingi Africa tulinde sana rasilimali zetu maana hapa ndipo tunaweza fanya biashara zetu na hawa jamaa na kuwa na win win situation. Vinginevyo kusema kwamba kuna kipindi kwamba Africa inaweza peleka bidhaa za viwandani kwenda kuuza china ni ndoto za mchana .
 
Walikiwa kama sisi ety
 
Back
Top Bottom