Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Samaleko!
Angalia finishingHilo gari au ni kifaru cha jeshi (a military tank)??🤣
Ujaona muembe kulia hapoChini ya Muembe upi??
daah. kaka punguza madharau 😂😂Hili gari au Golf Cart?
Natania, hongera zake kwa kututoa kimasomaso.
Ok boss. Ila Tatizo la kuunda magari kwa mtindo huu ni kwamba unatengeneza kitu ambacho hakina demand. Unatengeneza ili tu uonekane umetengeneza ila hakuna soko.Loo mkuu, hivyo viwanda ni technologically advanced kiasi kwamba sio rahisi mtu aende kujifunza huko na apate matokeo mazuri, labda waende kujifunza Nigeria au Ghana ambao nao wamepiga hatua katika kuunda magari locally kwa muda sasa wao nadhani technology zao sio advanced sana kama huko Ulaya na Japan.
Nimesoma comments humu asilimia kubwa nadhani akili hazimo
Mleta mada hajotoa sifa za hiyo gari ikoje
Watu tayari.wameanza kukosoa bila kuwa na specification za gari
Cha kwanza kwa mwenye akili alitakiwa aombe specification zake kwanza ndio ajadili
Asante mleta mada umetusaidia kujua wajinga waliomo humu jamii forums Kwa.kupitia tu hiyo picha ya gari uliyorusha
Kiwango cha hoja hujadiliwa kulingana na kiwango cha taarifa. Ukisema hili ni gari, watu watalijadili hilo gari kulingana na kiwango cha taarifa zilizowekwa sio taarifa zisizokuwepo.Nimesoma comments humu asilimia kubwa nadhani akili hazimo
Mleta mada hajotoa sifa za hiyo gari ikoje
Watu tayari.wameanza kukosoa bila kuwa na specification za gari
Cha kwanza kwa mwenye akili alitakiwa aombe specification zake kwanza ndio ajadili
Asante mleta mada umetusaidia kujua wajinga waliomo humu jamii forums Kwa.kupitia tu hiyo picha ya gari uliyorusha
Mwanzo mzuri sanaSamaleko!