Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Hadharani wapi? Kwani pesa hizo zinawekwa kwenye kapu lililo wekwa uwanjani au unachanga kwa siri kupitia simu au benki? Mbona unashindwa kuwaza vizuri na kujenga hoja Kiutu uzima?
Lucas kwa nn unachuki na upinzani???? Au unataka mfumo was chama kimoja??? Kila mala unakosoa tu nn tatz????
 
Lucas kwa nn unachuki na upinzani???? Au unataka mfumo was chama kimoja??? Kila mala unakosoa tu nn tatz????
Mimi wala sina chuki na upinzani.bali nataka upinzani wa hoja,upinzani wa sera,upinzani wa mawazo mbadala kwa mstakabali mwema wa Taifa letu na ustawi wa watanzania. Upinzani wa kina Lissu wa kuhubiri ubaguzi na kupandikiza chuki kwa wananchi huo siukubali wala kuunga mkono kwa sababu mwisho wa siku utalipasua na kuligawa Taifa letu.
 
Watu wa Lumumba sijui wanafikiria kwa kutumia kiungo gani, huwezi kuwaelewa kabisa. Sio Mawaziri wala wafuasi wao, wote Bure kabisa.
 
Asee huyo Si saizi Yako, usipoteze muda wako, haezi kuelewa.
 
Kwa mfano huo huo, CCM huwa mnasema mnapendwa na nchi nzima, watz wapo 60M, Ila wanachama wa CCM hawafiki milioni 10!
 
Kwa mfano huo huo, CCM huwa mnasema mnapendwa na nchi nzima, watz wapo 60M, Ila wanachama wa CCM hawafiki milioni 10!
Nani kakwambia na kukudanganya kuwa wanachama ,wafuasi na wakereketwa wa CCM hawafiki million kumi?
 
Kwani michango inachangwa twitter au kupitia simu na benki? Kwani michango inahusu watu wa twitter pekee yake? Mbona unaonyesha udogo wa akili kiasi hicho?
Michango inayoendelea ni yawatu wa Twitter. Nakama unabisha nitajie wilaya au kijiji au mtaa ambao umesikia watu wanachanga kwa ajili ya Lissu


Huku mtaani hatuna habari naizo mambo tuko tuna pambana na utitiri wa kodi na tozo iri maisha yaende. Tena usiipime nguvu ya Lissu kwa vikao vyenu vya sendofu

Apumzike kwa Amani mwamba ngosha kipenzi cha watu huyu pekee ndiye alijaribu kushindana na lisu 2020 lakini na yeye aliishia kuweka mpila kwapani

na iri apate uhalali wa mkate wake ikamlazimu kununua vipepeo 19 vikapewa na ubatizo wa rangi usiku wa manane badala ya mchana
 
Naona umenijibu hoja yangu vizuri lakini umenipa maswali mengi sana;;;! Unataka taifa lisigawike,je UPI ni msimamo wako juu ya viongoza ambao bila kupepesa Macho kuna elements za kuligawa taifa???
 
Chawa kama hawa utakuta hata NSSF hana yeye ni Mapambio tuu ukiwa muhanga wa KIKOKOTOO huwezi hata sikumoja kusujudia hawa watu
Imara madhubuti kwa wizi na ufisadi na uuaji.unyang'anyi iwekwe pema mahala pake roho marehemu jiwe.
 
Lucas leo umehamia kwa Lissu? Karibu sana.
Kwa Makonda naona hakulipi na umehama 🤣
Anyway, tuma namba ya kulipia tuweke hela kwa Komredi Lissu ndugu.
ILA tambuka Lissu na Makonda ni PEPONI na JEHENAM
 
Aibu sana
 
Elli Ndugu yangu mtanzania uliye jaa msongo wa mawazo umefikaje huku? Umepitia njia gani? Wewe si ulisema una Ni ignore? Sasa umeonaje andiko langu wakati ulisema umeni ignore?

cc ephen

ephen
Dogo, nimekuepo hapa and insha'Allah nitaendelea kuwepo hapa, ukijibu ujinga I just ignore you! Hili ninalokufundisha ni kwa ajili yako na familia yako. Niko hapa Mbeya
 
Ndugu hizi ni pesa sio kura.
Pesa SI kila mtu anayo Hila kura kila mtu anayo angeomba kura tungempa za kutosha shida ni pesa tunatamani tumpe hila ukata mifuko imetoboka tozo adi majengo ya kushusha aja mafisiemu yametukamua kweli kweli
 
Lucas leo umehamia kwa Lissu? Karibu sana.
Kwa Makonda naona hakulipi na umehama 🤣
Anyway, tuma namba ya kulipia tuweke hela kwa Komredi Lissu ndugu.
ILA tambuka Lissu na Makonda ni PEPONI na JEHENAM
Siwezi nikamuunga mkono Lissu kwa lolote lile.ni mtu mbaguzi na mwenye chuki sana ambayo yupo tayari kuligawa na kulipasua Taifa letu kwa maslahi yake binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…