ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Endeleeni kuombea mkulima njaa mtakufa kama baba yenu huku cdm ikimeaBila shaka umekurupuka pasipo kuelewa hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kuombea mkulima njaa mtakufa kama baba yenu huku cdm ikimeaBila shaka umekurupuka pasipo kuelewa hoja.
Leta evidence million 100 zimechngwa wapi zimehifadhiwa kwenye account gani tuweze kukuamini?? Kama sio propaganda kama wenzio walio salimia na kufeliUnasemaje? Huoni mpaka sasa yamechangiwa mamillioni kwa mamillioni? Hujaona pesa zinachangwa hadi millioni mia moja kwa mkupuo? Unafahamu walimu peke yao walichangia kiasi gani?
Kwa hiyo kuna wanachadema ambao mpaka sasa hivi hawafahamu kama kuna mchango unaoendelea kwa ajili ya kumchangia Lissu kununua gari mpyaaaa? Hao wanaofahamu kama Lissu anahitaji msaaada wa michango hawawezi kufika hata laki moja ndani na nje ya nchi? Kama laki moja wanafika inashindikana nini kupatikana walau hata million 50 mpaka wakati huu? Maana watu laki wakichanga mia tano tano inapatikana millioni hamsini. CHADEMA kubalini tu kuwa kwa sasa hamna wanachama wa kueleweka na wenye mapenzi mema na CHADEMA na ambao wanaweza kujitolea hela zao kumpa mtu kama Lissu anayetoa lugha za kibaguzi na chuki .Soma tena nilichoandika. Unakurupuka sana dogo. Maria Sarungi katangazia huko X ,jee ni wangapi katika wanachama wa Chadema nchi nzima wanaingia huko? Ndiyo maana nimekuambia kama ni Chadema ndiyo wangeitisha huo mchango wangewashirikisha viongozi wa ngazi zote. Jaribu kuelewa somo hivi shuleni ulikuwa unafanyaje ukishika paper unakurupuka tu kujibu bila kuelewa swali ili uwe wa kwanza kumaliza?
Walimu walichangia shilingi ngapi?Leta evidence million 100 zimechngwa wapi zimehifadhiwa kwenye account gani tuweze kukuamini?? Kama sio propaganda kama wenzio walio salimia na kufeli
Wewe unalazimisha fikra zako ziwe ndiyo uhalisia,ndiyo hapo unapokosea na kwa vile moyo wako umeujaza chuki kwa Chadema basi kila kitu cha Chadema kwako wewe ni hasi tu. Anyway ni haki yako kuwaza lolote ndiyo demokrasia yenyewe ila tu usimuone mwenye fikra tofauti na wewe kuwa ni adui,ni mjinga,mpumbavu na siyo mzalendo. Sisi wote ni Watanzania hakuna asiyeipenda Tanzania kwani hatuna nchi nyingine zaidi ya hii lakini pia hatuwezi kufanana mitazamo na fikra. Relax usiumize sana moyo wako kwa chuki ukidhani kuwa ndiyo utaonekana unaisaidia CCM yako.Kwa hiyo kuna wanachadema ambao mpaka sasa hivi hawafahamu kama kuna mchango unaoendelea kwa ajili ya kumchangia Lissu kununua gari mpyaaaa? Hao wanaofahamu kama Lissu anahitaji msaaada wa michango hawawezi kufika hata laki moja ndani na nje ya nchi? Kama laki moja wanafika inashindikana nini kupatikana walau hata million 50 mpaka wakati huu? Maana watu laki wakichanga mia tano tano inapatikana millioni hamsini. CHADEMA kubalini tu kuwa kwa sasa hamna wanachama wa kueleweka na wenye mapenzi mema na CHADEMA na ambao wanaweza kujitolea hela zao kumpa mtu kama Lissu anayetoa lugha za kibaguzi na chuki .
Mkuu hivi kweli mbwembwe zote zile Lisu ni wa kukosa wafuasi laki 5 wa kuchangia elfu moja moja ili apate milioni 500 ya shangingi?Wafuasi wa cdm huwa wanatoa kura na sio fedha. Fedha ni jambo la hiari. Na Lisu hataki fedha chafu, hivyo hizo atakazopata ni watu waliojifunga mikanda. Cdm sio chama Cha matajiri wauza unga kama wa ccm, Bali cha walalahoi.
Mmeanza kugombana ChawaMambo ya chadema waachie wenyewe! Ukiona chadema ni nzuri na unahitaji mabadiliko ktk hiko chama basi chukua kadi kuwa mwanachama
Tulia na chama chako jenga chama chako, kosoa chama chako, kijenge chama chako!
Usingoje makonda aje akosoe ndio nawe utokeshimoni...!
Usingoje mwenyekiti wako aseme ndio nawe useme! Wakati huo akiwa kimya unamsifia ata kama amekosea!
Jenga chama chako, jenga taifa lako!
Chama chako kipo madarakani miaka nenda rejea, kina mapungufu kibao! Paza sauti kujenga nchi na chama
Kemea watendaji wazembe!
******
Wewe atakuwa mtendaji wanyumba kumi hakuna utafanya, ata ile kazi ya Anuani za makazi sijui kama ulifanya kwa ufanisi kwa namna unavyoishi katika hii platform!
Nilikuulize wewe mwana ccm leta ushahidi mama kachangiwa sh ngapi na lisu sh ngapi leta na EFD RECEIPTWalimu walichangia shilingi ngapi?
Leta ushahidi unapiga kelele mamilioni ya maneno bila ushahidi ni sawa na taarabuUnasemaje? Huoni mpaka sasa yamechangiwa mamillioni kwa mamillioni? Hujaona pesa zinachangwa hadi millioni mia moja kwa mkupuo? Unafahamu walimu peke yao walichangia kiasi gani?
We jamaa unahangaika na Chadema sana. Chama chenu mfuNdugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.
Michago inayoendelea kuchangwa imeonyesha CHADEMA haina wanachama hai hata million moja tu.imeonyesha CHADEMA huwa wanapika takwimu ili kuwapofua macho na akili wafuasi wake kiduchu na wafadhili wao. Sasa kwa sasa tangia michango imeanza kuchangwa kwa ajili ya Lissu, CHADEMA na wana CHADEMA mpaka muda huu wameshindwa kufikisha millioni 30.
Sasa tizama mahesabu haya kutoka kwangu Mwashambwa Lucas kada kindaki Ndaki wa CCM.
Kama CHADEMA ingekuwa na walau wafuasi na wanachama hai hata laki tano Tuuuu yaani 500,000 na kila mwanachama akachanga walau elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia tano keshi. Yaani
500,000×1000= 500,000,000/=
je pesa hizi zisingetosha kununua gari analolitaka Lissu na chenji kubaki??
Kama CHADEMA ingekuwa na wafuasi Million moja na kila mtu akachanga walau shilingi mia tano maana yake ni kuwa bado Lissu angepata millioni mia tano keshi.
Sasa hao mamilioni ya wanachama ambao CHADEMA huwa inasema inao wengi kuliko wana CCM wapo wapi? Wamejificha wapi? Hawajaona na kusikia kuwa Lissu anahitaji na kuomba walau hata miatano tu? Ikumbukwe kuwa CHADEMA huwa wanasema wana wanachama zaidi ya millioni kumi.
Sasa kama kati ya wanachama zaidi ya milioni kumi wanashindikana kupatikana hata wanachama laki tano tu wa kuchangia elfu moja tu ili kupata million mia tano.je hamuoni kuwa chama hiki kinapika takwimu mara nyingi?
Hata zile kura alizopata Hayati Lowassa mwaka 2015,zilitokana na mgawanyiko uliotoka ndani ya CCM katika upatikanaji wa mgombea Urais. Hata katika ngazi ya ubunge mahali popote pale wanapopata ubunge CHADEMA huwa ni kura za wana CCM wenzetu wanaokuwa wamegawanyika nakupiga kura za hasira kwa upinzani kama sehemu ya kutoridhishwa wakati mwingine na jina linalokuwa limerejeshwa na vikao vya juu.
Lakini kama sisi sote Wana CCM Pamoja na mashabiki wetu na wakereketwa na wanachama kindaki ndanki tukiamua kupigia kura wagombea wetu,nawahakikishia CHADEMA na upinzani wote kuwa hakuna kiti kinachoweza kwenda upinzani kuanzia mwenyekiti wa kitongoji hadi ngazi ya Urais. Upinzani hauwezi kuambulia chochote kile.
Na kwa sasa wale Wana CCM wachache waliokuwa wanapiga kura za hasira kwa upinzani hasa CHADEMA wamejifunza na kujutia makosa yao kwa machozi na maumivu makali sana.wametambua kuwa walikuwa wanajikomesha wenyewe na siyo chama.maana wameona upinzani kazi yao ni kupinga kila kitu na kila jambo pasipo kumpigania mwananchi kwa lolote lile. Kwa hiyo huu mserereko na mteremko waliokuwa wakipata CHADEMA kwa sasa wasahau kabisa kuupata.maana kila mwana CCM amejilia kiapo cha kuipa kura ya ndio CCM Katika kila ngazi ya uchaguzi.
Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. CHADEMA njooni Nataka tubishane kwa hoja na siyo makelele na matusi. Weka hesabu nami niweke hesabu. Weka takwimu nami nishushe nondo za uhakika. Raha ya CCM Ni kubishana kwa hoja na siyo matusi.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
We endelea kung'ang'ana na million10 ukifikiri wanachadema wamekwama! Tambua Kuna ambao hawahitaji kujitangaza! Na kwa taarifa yako wapo wanachadema wenye ukwasi walioupata kihalali na sio Kwa ufisadi kama wa ccm! Na ambao sio ajabu Kwa muda huu unaobwabwaja humu wewe Luka mshamba,gari imeshatolewa order kiwandani tena bullet proof! Na tunatambua ninyi ni wachawi,ikitua tu bandarini tunawekea uchawi proof!Ndugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.
Michago inayoendelea kuchangwa imeonyesha CHADEMA haina wanachama hai hata million moja tu.imeonyesha CHADEMA huwa wanapika takwimu ili kuwapofua macho na akili wafuasi wake kiduchu na wafadhili wao. Sasa kwa sasa tangia michango imeanza kuchangwa kwa ajili ya Lissu, CHADEMA na wana CHADEMA mpaka muda huu wameshindwa kufikisha millioni 30.
Sasa tizama mahesabu haya kutoka kwangu Mwashambwa Lucas kada kindaki Ndaki wa CCM.
Kama CHADEMA ingekuwa na walau wafuasi na wanachama hai hata laki tano Tuuuu yaani 500,000 na kila mwanachama akachanga walau elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia tano keshi. Yaani
500,000×1000= 500,000,000/=
je pesa hizi zisingetosha kununua gari analolitaka Lissu na chenji kubaki??
Kama CHADEMA ingekuwa na wafuasi Million moja na kila mtu akachanga walau shilingi mia tano maana yake ni kuwa bado Lissu angepata millioni mia tano keshi.
Sasa hao mamilioni ya wanachama ambao CHADEMA huwa inasema inao wengi kuliko wana CCM wapo wapi? Wamejificha wapi? Hawajaona na kusikia kuwa Lissu anahitaji na kuomba walau hata miatano tu? Ikumbukwe kuwa CHADEMA huwa wanasema wana wanachama zaidi ya millioni kumi.
Sasa kama kati ya wanachama zaidi ya milioni kumi wanashindikana kupatikana hata wanachama laki tano tu wa kuchangia elfu moja tu ili kupata million mia tano.je hamuoni kuwa chama hiki kinapika takwimu mara nyingi?
Hata zile kura alizopata Hayati Lowassa mwaka 2015,zilitokana na mgawanyiko uliotoka ndani ya CCM katika upatikanaji wa mgombea Urais. Hata katika ngazi ya ubunge mahali popote pale wanapopata ubunge CHADEMA huwa ni kura za wana CCM wenzetu wanaokuwa wamegawanyika nakupiga kura za hasira kwa upinzani kama sehemu ya kutoridhishwa wakati mwingine na jina linalokuwa limerejeshwa na vikao vya juu.
Lakini kama sisi sote Wana CCM Pamoja na mashabiki wetu na wakereketwa na wanachama kindaki ndanki tukiamua kupigia kura wagombea wetu,nawahakikishia CHADEMA na upinzani wote kuwa hakuna kiti kinachoweza kwenda upinzani kuanzia mwenyekiti wa kitongoji hadi ngazi ya Urais. Upinzani hauwezi kuambulia chochote kile.
Na kwa sasa wale Wana CCM wachache waliokuwa wanapiga kura za hasira kwa upinzani hasa CHADEMA wamejifunza na kujutia makosa yao kwa machozi na maumivu makali sana.wametambua kuwa walikuwa wanajikomesha wenyewe na siyo chama.maana wameona upinzani kazi yao ni kupinga kila kitu na kila jambo pasipo kumpigania mwananchi kwa lolote lile. Kwa hiyo huu mserereko na mteremko waliokuwa wakipata CHADEMA kwa sasa wasahau kabisa kuupata.maana kila mwana CCM amejilia kiapo cha kuipa kura ya ndio CCM Katika kila ngazi ya uchaguzi.
Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. CHADEMA njooni Nataka tubishane kwa hoja na siyo makelele na matusi. Weka hesabu nami niweke hesabu. Weka takwimu nami nishushe nondo za uhakika. Raha ya CCM Ni kubishana kwa hoja na siyo matusi.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anae changiwa ni lissu au ni chadema? Em tuliza ubongo mkuu ushaambiwa na mdau henga chama chako!! Mchango wa lisu kawaomba wa tz wote hata wewe ukiguswa changiaNdugu zangu Watanzania,

Huo ni mchango wa hiari sio kodi.Mkuu hivi kweli mbwembwe zote zile Lisu ni wa kukosa wafuasi laki 5 wa kuchangia elfu moja moja ili apate milioni 500 ya shangingi?
Chama chenye watu kama wewe wanaofanya analysis za kitoto kama hizi, ni chama ambacho kinaleta umaskini mkubwa kwa watanzania. hakifai kuendelea kuongoza nchi hii.Ndugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.
kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ulichofanya wewe ni kupiga mayowe na siyo kujibu hoja.Chama chenye watu kama wewe wanaofanya analysis za kitoto kama hizi, ni chama ambacho kinaleta umaskini mkubwa kwa watanzania. hakifai kuendelea kuongoza nchi hii.
Kama ni hiyari mbona hamtaki kutoa sasa?Huo ni mchango wa hiari sio kodi.
CHADEMA mnaandikaga utafikiri mmepofuka akili.We jamaa unahangaika na Chadema sana. Chama chenu mfu
We endelea kung'ang'ana na million10 ukifikiri wanachadema wamekwama! Tambua Kuna ambao hawahitaji kujitangaza! Na kwa taarifa yako wapo wanachadema wenye ukwasi walioupata kihalali na sio Kwa ufisadi kama wa ccm! Na ambao sio ajabu Kwa muda huu unaobwabwaja humu wewe Luka mshamba,gari imeshatolewa order kiwandani tena bullet proof! Na tunatambua ninyi ni wachawi,ikitua tu bandarini tunawekea uchawi proof!
Leta hesabu hapa we si chawa wa maama au?Walimu walichangia shilingi ngapi?
Unajua maana ya neno hiyari ?Kama ni hiyari mbona hamtaki kutoa sasa?