Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Ndugu yangu unashangaza saana,, unaweza pelekea watu wakutukane kwa fikila zako hizo

Unaweza twambia niwangapi wanatumia simi janja wapeta hizo habari pia waweza twambia
Kila mtu anaweza changia ikiwa tu asilimia kubwa ya wa Tz wanaishi chini ya dollar moja JE unajua kama kupiga kura ni Bure au kuna uhusiano kati ya kura na kuchangia pesa ebu acha UCHAWA ongea reality.

Ndugu zangu watanzania,

Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya pazia wana kucheka tu na kukuona kama sinema tu.

Wafuasi wa Lissu kinafiki na kilaghai walishamuaminisha na kumvimbisha kichwa Lissu kuwa wana mpenda na yeye akakubali kuwa anakubalika sana na anaweza hata kuwa Rais Wa nchi hii wakati hata wafuasi wake tu wanaona kamwe na katu hawezi kuwa Rais wala kiongozi wa ngazi ya juu.

Sasa tangia ameanza kuomba michango ya kununua gari la kifahari kwa ajili ya mizunguko yake imeshangaza na kusikitisha kuona mpaka sasa karibia wiki Ni watu 1673 tuuuuu ndio wameweza kumchangia Lissu hela. Hii ni aibu ,fedheha na jambo la kusikitisha sana tena sana.

Hii inaonyesha wazi na dhahiri Lissu hakubaliki kabisa ndani ya CHADEMA na wengi pengine hawakubaliani kabisa na aina ya siasa zake ,hasa lugha zake mbaya na chafu za kibaguzi na chuki kwa wale ambao hakubaliani nao . kama ambavyo amemshambulia Mheshimiwa Rais kwa lugha za kibaguzi na chuki.

Watanzania na wanachadema wametuma ujumbe bila kujali itikadi zao za kisiasa kuwa hawamuungi mkono lisssu na aina ya siasa zake za chuki na kibaguzi. Jiulize tu ndugu yangu Lissu ana wafuasi wangapi kwenye mitandao yake ya kijamii? Kwanini wamegoma kumchangia? Imekuwaje kati ya mamilioni ya watanzania ndani na nje ya nchi imeshindikana hata watu elfu tano tu yaani 5000 kupatikana kumchangia?

Maana mtu anayekupenda ,kukuunga mkono katika harakati zako na kazi yako ni lazima awe wa kwanza kujitoa na kukuchangia kwa hali na mali. Mfano mimi hapa nilipo ikitokea Rais Samia akasema anahitaji mchango basi ni lazima nitakwenda kuuza hata mahindi yangu ili tu nipate pesa ya kumchangia. Nitafanya hivyo kwa kuwa ninampenda na ninamuunga sana mkono kwa uchapa kazi wake,na utumishi wake unaogusa maisha yetu, mfano kwetu sisi wakulima ambapo tumefaidika na uongozi wake.

Sasa Lissu ndio afahamu ya kuwa hata uchaguzi wa 2020 hakuibiwa kura kama alivyokuwa akidai ,bali ni kuwa watanzania hawampendi na hawamkubali na kumuunga mkono kwa yeye kuwa Rais .kwa kuwa wanaona hatoshi hata chembe kushika nafasi hiyo.anaweza kuwa anafaa kwenye kazi nyingine lakini siyo kazi ya Urais maana hana sifa za Urais zinazohitaji mtu makini,mzalendo,mchapa kazi,mwenye maono,mtulivu,mwenye subira,msikivu,anayejuwa wakati gani aongee na wakati gani akae kimya,wakati gani afanye maamuzi na wakati gani avute subira,nini aongee awapo hadharani na kipi akae kimya.Urais unahitaji mtu mwenye hekima, busara,upendo kwa watu wote.

Urais unahitaji mtu mwenye chujio la maneno,mtu mwenye muunganiko mzuri wa akili na mdomo wake,mwenye kufikiri kabla ya kuzungumza na siyo kuzungumza ndio ufikiri,mtumweye uwezo wa kuwaunganisha watu wote bila kujali dini zao,makabila yao,kanda zao na hata jinsia zao. Urais unahitaji mtu mwenye kifua cha chuma japo ana moyo wa nyama na damu.

Urais hauhitaji mtu mropokaji, mkurupukaji,mwenye mihemuko,jazba,hasira,mwenye kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni pake au mtu mwenye kujiona ana akili kuliko watu wote,mtu asiye shaurika wala kukubali ushauri wa watu wengine. Urais hauhitaji mtu wakuwagawa watu kwa kusema hawa ni Maccm au Mapoliccm. Huyo hatufai hata kidogo.

Lissu amepelekewa ujumbe mzito sana na mchungu sana ambao utampa somo zitoo sana kama atahitaji kujifunza. Ni lazima sasa ajifunze na kubadilika.asijione ana akili sana kupita watu wote .

Lissu anazidiwa ushawishi na nguvu ya kukubalika hata na msemaji wa club ya Simba Ahmed Ally achilia mbali Ally Kamwe wa Yanga, ambaye huhamasisha mashabiki wake kuujaza uwanja wa Benjamini mkapa unaobeba mashabiki elfu sitini kwa viingilio vya kuanzia Elfu tano kwa viti vya mzunguko mpaka laki mbili kwa VIP A?

Ole wake apitishwe na CHADEMA kugombea Urais uchaguzi ujao kushindana na mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hasssan ataona aibu atakayovuna katika sanduku la kura. Lissu Akipata kura hata laki moja Basi akachinje kuku ale.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yab
 
Dah kweli ccm imetuharibia watoto! Unafananisha kura na michango ya fedha!! Sawa umechambua kikomo cha uwezo wako wa kufikiri hongera.
 
Una tafsiri mbovu juu ya dhana ya uzalendo.
Nakushauri ukasome vizuri dnana ya uzalendo.
Unachofanya wewe hapa jukwaani kwa machapisho yako yasiyokuwa na kichwa wala miguu ni upotoshaji na uchawa uliopitiliza wala sio uzalendo
Ungeonyesha kwa hoja ni wapi nimefanya upotoshaji huo unao usema wewe..
 
Watu wazalendo wakiwamo wanaccm Makampuni, na taasisi kwa Siri tutamchangia lisu kupitia cash, tunajua nyie madhalimu mnafuatilia mjuenna anachanga ili mtudhuruA
 
Dah kweli ccm imetuharibia watoto! Unafananisha kura na michango ya fedha!! Sawa umechambua kikomo cha uwezo wako wa kufikiri hongera.
Hata wakati wa kupigania uhuru ni wananchi wazalendo ndio walikuwa wanachangia pesa zao kidogo kidogo kuwawezesha wanaharakati waliokuwa mstari wa mbele kupigania na kudai uhuru, kama vile Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kusafiri .
 
Sina interest na siasa ila we jamaa utakuja kuota Lisu anakupelekea pumzi ya moto.
 
Awazacho mjinga hicho kitakacho mtoka kinywani pake. Wewe ni mjinga mwenye mawazo ya kijinga na ndio sababu unaongea ujinga.
 
Watu wazalendo wakiwamo wanaccm Makampuni, na taasisi kwa Siri tutamchangia lisu kupitia cash, tunajua nyie madhalimu mnafuatilia mjuenna anachanga ili mtudhuruA
Acha uongo wako wewe kwa ukimchangia kupitia wakala nani atajuwa kuwa umemchangia wewe? Ninyi ni wanafiki na wababaishaji na ndio maana mmemuingiza mjini Lissu na kumtelekeza .
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya pazia wana kucheka tu na kukuona kama sinema tu.

Wafuasi wa Lissu kinafiki na kilaghai walishamuaminisha na kumvimbisha kichwa Lissu kuwa wana mpenda na yeye akakubali kuwa anakubalika sana na anaweza hata kuwa Rais Wa nchi hii wakati hata wafuasi wake tu wanaona kamwe na katu hawezi kuwa Rais wala kiongozi wa ngazi ya juu.

Sasa tangia ameanza kuomba michango ya kununua gari la kifahari kwa ajili ya mizunguko yake imeshangaza na kusikitisha kuona mpaka sasa karibia wiki Ni watu 1673 tuuuuu ndio wameweza kumchangia Lissu hela. Hii ni aibu ,fedheha na jambo la kusikitisha sana tena sana.

Hii inaonyesha wazi na dhahiri Lissu hakubaliki kabisa ndani ya CHADEMA na wengi pengine hawakubaliani kabisa na aina ya siasa zake ,hasa lugha zake mbaya na chafu za kibaguzi na chuki kwa wale ambao hakubaliani nao . kama ambavyo amemshambulia Mheshimiwa Rais kwa lugha za kibaguzi na chuki.

Watanzania na wanachadema wametuma ujumbe bila kujali itikadi zao za kisiasa kuwa hawamuungi mkono lisssu na aina ya siasa zake za chuki na kibaguzi. Jiulize tu ndugu yangu Lissu ana wafuasi wangapi kwenye mitandao yake ya kijamii? Kwanini wamegoma kumchangia? Imekuwaje kati ya mamilioni ya watanzania ndani na nje ya nchi imeshindikana hata watu elfu tano tu yaani 5000 kupatikana kumchangia?

Maana mtu anayekupenda ,kukuunga mkono katika harakati zako na kazi yako ni lazima awe wa kwanza kujitoa na kukuchangia kwa hali na mali. Mfano mimi hapa nilipo ikitokea Rais Samia akasema anahitaji mchango basi ni lazima nitakwenda kuuza hata mahindi yangu ili tu nipate pesa ya kumchangia. Nitafanya hivyo kwa kuwa ninampenda na ninamuunga sana mkono kwa uchapa kazi wake,na utumishi wake unaogusa maisha yetu, mfano kwetu sisi wakulima ambapo tumefaidika na uongozi wake.

Sasa Lissu ndio afahamu ya kuwa hata uchaguzi wa 2020 hakuibiwa kura kama alivyokuwa akidai ,bali ni kuwa watanzania hawampendi na hawamkubali na kumuunga mkono kwa yeye kuwa Rais .kwa kuwa wanaona hatoshi hata chembe kushika nafasi hiyo.anaweza kuwa anafaa kwenye kazi nyingine lakini siyo kazi ya Urais maana hana sifa za Urais zinazohitaji mtu makini,mzalendo,mchapa kazi,mwenye maono,mtulivu,mwenye subira,msikivu,anayejuwa wakati gani aongee na wakati gani akae kimya,wakati gani afanye maamuzi na wakati gani avute subira,nini aongee awapo hadharani na kipi akae kimya.Urais unahitaji mtu mwenye hekima, busara,upendo kwa watu wote.

Urais unahitaji mtu mwenye chujio la maneno,mtu mwenye muunganiko mzuri wa akili na mdomo wake,mwenye kufikiri kabla ya kuzungumza na siyo kuzungumza ndio ufikiri,mtumweye uwezo wa kuwaunganisha watu wote bila kujali dini zao,makabila yao,kanda zao na hata jinsia zao. Urais unahitaji mtu mwenye kifua cha chuma japo ana moyo wa nyama na damu.

Urais hauhitaji mtu mropokaji, mkurupukaji,mwenye mihemuko,jazba,hasira,mwenye kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni pake au mtu mwenye kujiona ana akili kuliko watu wote,mtu asiye shaurika wala kukubali ushauri wa watu wengine. Urais hauhitaji mtu wakuwagawa watu kwa kusema hawa ni Maccm au Mapoliccm. Huyo hatufai hata kidogo.

Lissu amepelekewa ujumbe mzito sana na mchungu sana ambao utampa somo zitoo sana kama atahitaji kujifunza. Ni lazima sasa ajifunze na kubadilika.asijione ana akili sana kupita watu wote .

Lissu anazidiwa ushawishi na nguvu ya kukubalika hata na msemaji wa club ya Simba Ahmed Ally achilia mbali Ally Kamwe wa Yanga, ambaye huhamasisha mashabiki wake kuujaza uwanja wa Benjamini mkapa unaobeba mashabiki elfu sitini kwa viingilio vya kuanzia Elfu tano kwa viti vya mzunguko mpaka laki mbili kwa VIP A?

Ole wake apitishwe na CHADEMA kugombea Urais uchaguzi ujao kushindana na mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hasssan ataona aibu atakayovuna katika sanduku la kura. Lissu Akipata kura hata laki moja Basi akachinje kuku ale.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
mgomo wa wafuasi wa mwamba wa kaskazini chadema, ambao kwakweli wameona ni aibu na fedheha sana kwa taasisi yao kua na viongozi wa kuchangiwa na kuombaomba huruma kila mara, tena vitu vidogo vidogo, umeleta athari kwenye michango hii, na imemuumbua kweli eti anakubalika :pedroP:
 
Anaweza akachangiwa na mtu mmoja tu shughuli ikawa imeisha, acha kukariri na ushabiki maandazi
 
Sio lisu wala mama samia wote ni changamoto tu, lakini kuhusu suala la kumchangia lisu una uhakika member wote wanafahamu kuwa kuna kumchangia lisu, maana hakuna redio wala televisheni inayo sisitiza hili, only social media tu ndio nimeona linazungumziwa hili, hata mimi pia nimeona mtandaoni tu nimebadilisha channel kadhaa hapa kwenye redio hakuna hata redio inayo taja hizo information za chadema,, lakini utayari wa mtu kutoa hela ni tofauti na utayari wa mtu kutoa kura yake,, hata mimi ningekuwa member siwezi kumpa hela kwa lengo la kununua gari la kifahari,,
Angesema achangiwe kwenye jambo linalo gusa hisia za watu angechangiwa tu lakini sio gari la kifahari huyu ameanza kuutaka ufahari kabla hata hajawa raisi akipewa urais itakuwaje sasa..!!
 
Kinachohitajika hapa ni majibu ya hoja na siyo hayo mashairi yasiyo na vina Wala mizani wala mpangilio.acha Makele na mayowe yako hapa.jibu hoja kwa hoja.
Hauna hoja,na Wala hujawahi kuwa na hoja,zaidi zaidi una uchawa uliozidi viwango mkuu.
Michango ya taasisi A inakuhusu nn wewe ambaye upo taasisi B.
Na hauhusiani Kwa chochote na wao.🤔
 
Back
Top Bottom