Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Anaweza akachangiwa na mtu mmoja tu shughuli ikawa imeisha, acha kukariri na ushabiki maandazi
Na ndo kimefanyika ,ila ilikuwa umma ushirikishwe , kuwalinda matajili wa tanzania ambao tayari mpunga wamekabidhi mezani IU ya chadema ikopoa sana
 
Hata wakati wa kupigania uhuru ni wananchi wazalendo ndio walikuwa wanachangia pesa zao kidogo kidogo kuwawezesha wanaharakati waliokuwa mstari wa mbele kupigania na kudai uhuru, kama vile Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kusafiri .
Wakati hule walikuwa watanganyika versus mkoloni, hali ya uchumi ilikuwa stable kwao, population haikuwa kubwa kama sasa, watanganyika walikuwa waelewa zaidi ya sasa iliyojaa uchakachuzi wa bongo za vijana wetu.......
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya pazia wana kucheka tu na kukuona kama sinema tu.

Wafuasi wa Lissu kinafiki na kilaghai walishamuaminisha na kumvimbisha kichwa Lissu kuwa wana mpenda na yeye akakubali kuwa anakubalika sana na anaweza hata kuwa Rais Wa nchi hii wakati hata wafuasi wake tu wanaona kamwe na katu hawezi kuwa Rais wala kiongozi wa ngazi ya juu.

Sasa tangia ameanza kuomba michango ya kununua gari la kifahari kwa ajili ya mizunguko yake imeshangaza na kusikitisha kuona mpaka sasa karibia wiki Ni watu 1673 tuuuuu ndio wameweza kumchangia Lissu hela. Hii ni aibu ,fedheha na jambo la kusikitisha sana tena sana.

Hii inaonyesha wazi na dhahiri Lissu hakubaliki kabisa ndani ya CHADEMA na wengi pengine hawakubaliani kabisa na aina ya siasa zake ,hasa lugha zake mbaya na chafu za kibaguzi na chuki kwa wale ambao hakubaliani nao . kama ambavyo amemshambulia Mheshimiwa Rais kwa lugha za kibaguzi na chuki.

Watanzania na wanachadema wametuma ujumbe bila kujali itikadi zao za kisiasa kuwa hawamuungi mkono lisssu na aina ya siasa zake za chuki na kibaguzi. Jiulize tu ndugu yangu Lissu ana wafuasi wangapi kwenye mitandao yake ya kijamii? Kwanini wamegoma kumchangia? Imekuwaje kati ya mamilioni ya watanzania ndani na nje ya nchi imeshindikana hata watu elfu tano tu yaani 5000 kupatikana kumchangia?

Maana mtu anayekupenda ,kukuunga mkono katika harakati zako na kazi yako ni lazima awe wa kwanza kujitoa na kukuchangia kwa hali na mali. Mfano mimi hapa nilipo ikitokea Rais Samia akasema anahitaji mchango basi ni lazima nitakwenda kuuza hata mahindi yangu ili tu nipate pesa ya kumchangia. Nitafanya hivyo kwa kuwa ninampenda na ninamuunga sana mkono kwa uchapa kazi wake,na utumishi wake unaogusa maisha yetu, mfano kwetu sisi wakulima ambapo tumefaidika na uongozi wake.

Sasa Lissu ndio afahamu ya kuwa hata uchaguzi wa 2020 hakuibiwa kura kama alivyokuwa akidai ,bali ni kuwa watanzania hawampendi na hawamkubali na kumuunga mkono kwa yeye kuwa Rais .kwa kuwa wanaona hatoshi hata chembe kushika nafasi hiyo.anaweza kuwa anafaa kwenye kazi nyingine lakini siyo kazi ya Urais maana hana sifa za Urais zinazohitaji mtu makini,mzalendo,mchapa kazi,mwenye maono,mtulivu,mwenye subira,msikivu,anayejuwa wakati gani aongee na wakati gani akae kimya,wakati gani afanye maamuzi na wakati gani avute subira,nini aongee awapo hadharani na kipi akae kimya.Urais unahitaji mtu mwenye hekima, busara,upendo kwa watu wote.

Urais unahitaji mtu mwenye chujio la maneno,mtu mwenye muunganiko mzuri wa akili na mdomo wake,mwenye kufikiri kabla ya kuzungumza na siyo kuzungumza ndio ufikiri,mtumweye uwezo wa kuwaunganisha watu wote bila kujali dini zao,makabila yao,kanda zao na hata jinsia zao. Urais unahitaji mtu mwenye kifua cha chuma japo ana moyo wa nyama na damu.

Urais hauhitaji mtu mropokaji, mkurupukaji,mwenye mihemuko,jazba,hasira,mwenye kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni pake au mtu mwenye kujiona ana akili kuliko watu wote,mtu asiye shaurika wala kukubali ushauri wa watu wengine. Urais hauhitaji mtu wakuwagawa watu kwa kusema hawa ni Maccm au Mapoliccm. Huyo hatufai hata kidogo.

Lissu amepelekewa ujumbe mzito sana na mchungu sana ambao utampa somo zitoo sana kama atahitaji kujifunza. Ni lazima sasa ajifunze na kubadilika.asijione ana akili sana kupita watu wote .

Lissu anazidiwa ushawishi na nguvu ya kukubalika hata na msemaji wa club ya Simba Ahmed Ally achilia mbali Ally Kamwe wa Yanga, ambaye huhamasisha mashabiki wake kuujaza uwanja wa Benjamini mkapa unaobeba mashabiki elfu sitini kwa viingilio vya kuanzia Elfu tano kwa viti vya mzunguko mpaka laki mbili kwa VIP A?

Ole wake apitishwe na CHADEMA kugombea Urais uchaguzi ujao kushindana na mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hasssan ataona aibu atakayovuna katika sanduku la kura. Lissu Akipata kura hata laki moja Basi akachinje kuku ale.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Utayari wa mtu kutoa hela si sawa na utayari wa mtu kutoa kura"" kwahiyo hiki sio kigezo wala hakuna aibu kwa kuchangiwa na watu 1600, ila ni aibu kwa kutaka hela za raia ili anunue gari 😐
 
😃😃😃😃 Naona CHADEMA mmechoka kupigwa hela na viongozi wenu kwa kuwachangia kila siku halafu wao wanakwenda kutumbua maisha wakati ninyi hampati faida yeyote ile.
 
Sio lisu wala mama samia wote ni changamoto tu, lakini kuhusu suala la kumchangia lisu una uhakika member wote wanafahamu kuwa kuna kumchangia lisu, maana hakuna redio wala televisheni inayo sisitiza hili, only social media tu ndio nimeona linazungumziwa hili, hata mimi pia nimeona mtandaoni tu nimebadilisha channel kadhaa hapa kwenye redio hakuna hata redio inayo taja hizo information za chadema,, lakini utayari wa mtu kutoa hela ni tofauti na utayari wa mtu kutoa kura yake,, hata mimi ningekuwa member siwezi kumpa hela kwa lengo la kununua gari la kifahari,,
Angesema achangiwe kwenye jambo linalo gusa hisia za watu angechangiwa tu lakini sio gari la kifahari huyu ameanza kuutaka ufahari kabla hata hajawa raisi akipewa urais itakuwaje sasa..!!
Mimi mwenyewe nawashangaa sana yaani anataka gari la kifahari wakati anakwenda kutembelea watu wanaohitaji msaada .muda mrefu wanapinga magari ya kifahari halafu leo yule yule anataka kuchangiwa pesa kwa ajili ya kununua gari la kifahari. Naona anawaona CHADEMA ni wajinga sana na mazuzu.
 
"Mtu anayependwa na ambaye anapopularity kubwa akitamka tu juu ya mkwamo wa aina hiyo within 6hrs anakuwa ameshajaziwa 100ml.,fasta, wingi wa watu kwenye mikutano, siyo kura au kigezo cha wingi wa kura, nafurahi kumjenga Lissu mapema kisaikolojia, msemo wake wa naibiwa naibiwa aufanyie tathmini ya kina kama msomi fulani.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya pazia wana kucheka tu na kukuona kama sinema tu.

Wafuasi wa Lissu kinafiki na kilaghai walishamuaminisha na kumvimbisha kichwa Lissu kuwa wana mpenda na yeye akakubali kuwa anakubalika sana na anaweza hata kuwa Rais Wa nchi hii wakati hata wafuasi wake tu wanaona kamwe na katu hawezi kuwa Rais wala kiongozi wa ngazi ya juu.

Sasa tangia ameanza kuomba michango ya kununua gari la kifahari kwa ajili ya mizunguko yake imeshangaza na kusikitisha kuona mpaka sasa karibia wiki Ni watu 1673 tuuuuu ndio wameweza kumchangia Lissu hela. Hii ni aibu ,fedheha na jambo la kusikitisha sana tena sana.

Hii inaonyesha wazi na dhahiri Lissu hakubaliki kabisa ndani ya CHADEMA na wengi pengine hawakubaliani kabisa na aina ya siasa zake ,hasa lugha zake mbaya na chafu za kibaguzi na chuki kwa wale ambao hakubaliani nao . kama ambavyo amemshambulia Mheshimiwa Rais kwa lugha za kibaguzi na chuki.

Watanzania na wanachadema wametuma ujumbe bila kujali itikadi zao za kisiasa kuwa hawamuungi mkono lisssu na aina ya siasa zake za chuki na kibaguzi. Jiulize tu ndugu yangu Lissu ana wafuasi wangapi kwenye mitandao yake ya kijamii? Kwanini wamegoma kumchangia? Imekuwaje kati ya mamilioni ya watanzania ndani na nje ya nchi imeshindikana hata watu elfu tano tu yaani 5000 kupatikana kumchangia?

Maana mtu anayekupenda ,kukuunga mkono katika harakati zako na kazi yako ni lazima awe wa kwanza kujitoa na kukuchangia kwa hali na mali. Mfano mimi hapa nilipo ikitokea Rais Samia akasema anahitaji mchango basi ni lazima nitakwenda kuuza hata mahindi yangu ili tu nipate pesa ya kumchangia. Nitafanya hivyo kwa kuwa ninampenda na ninamuunga sana mkono kwa uchapa kazi wake,na utumishi wake unaogusa maisha yetu, mfano kwetu sisi wakulima ambapo tumefaidika na uongozi wake.

Sasa Lissu ndio afahamu ya kuwa hata uchaguzi wa 2020 hakuibiwa kura kama alivyokuwa akidai ,bali ni kuwa watanzania hawampendi na hawamkubali na kumuunga mkono kwa yeye kuwa Rais .kwa kuwa wanaona hatoshi hata chembe kushika nafasi hiyo.anaweza kuwa anafaa kwenye kazi nyingine lakini siyo kazi ya Urais maana hana sifa za Urais zinazohitaji mtu makini,mzalendo,mchapa kazi,mwenye maono,mtulivu,mwenye subira,msikivu,anayejuwa wakati gani aongee na wakati gani akae kimya,wakati gani afanye maamuzi na wakati gani avute subira,nini aongee awapo hadharani na kipi akae kimya.Urais unahitaji mtu mwenye hekima, busara,upendo kwa watu wote.

Urais unahitaji mtu mwenye chujio la maneno,mtu mwenye muunganiko mzuri wa akili na mdomo wake,mwenye kufikiri kabla ya kuzungumza na siyo kuzungumza ndio ufikiri,mtumweye uwezo wa kuwaunganisha watu wote bila kujali dini zao,makabila yao,kanda zao na hata jinsia zao. Urais unahitaji mtu mwenye kifua cha chuma japo ana moyo wa nyama na damu.

Urais hauhitaji mtu mropokaji, mkurupukaji,mwenye mihemuko,jazba,hasira,mwenye kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni pake au mtu mwenye kujiona ana akili kuliko watu wote,mtu asiye shaurika wala kukubali ushauri wa watu wengine. Urais hauhitaji mtu wakuwagawa watu kwa kusema hawa ni Maccm au Mapoliccm. Huyo hatufai hata kidogo.

Lissu amepelekewa ujumbe mzito sana na mchungu sana ambao utampa somo zitoo sana kama atahitaji kujifunza. Ni lazima sasa ajifunze na kubadilika.asijione ana akili sana kupita watu wote .

Lissu anazidiwa ushawishi na nguvu ya kukubalika hata na msemaji wa club ya Simba Ahmed Ally achilia mbali Ally Kamwe wa Yanga, ambaye huhamasisha mashabiki wake kuujaza uwanja wa Benjamini mkapa unaobeba mashabiki elfu sitini kwa viingilio vya kuanzia Elfu tano kwa viti vya mzunguko mpaka laki mbili kwa VIP A?

Ole wake apitishwe na CHADEMA kugombea Urais uchaguzi ujao kushindana na mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hasssan ataona aibu atakayovuna katika sanduku la kura. Lissu Akipata kura hata laki moja Basi akachinje kuku ale.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ukitaka kupiga kura unatakiwa utoe shilingi ngapi, Ili tujue kuwa waliochanga hela kwa hiari ndio kura zake?
 
"Mtu anayependwa na ambaye anapopularity kubwa akitamka tu juu ya mkwamo wa aina hiyo within 6hrs anakuwa ameshajaziwa 100ml.,fasta, wingi wa watu kwenye mikutano, siyo kura au kigezo cha wingi wa kura, nafurahi kumjenga Lissu mapema kisaikolojia, msemo wake wa naibiwa naibiwa aufanyie tathmini ya kina kama msomi fulani.
Tume iwe huru kisha uje na haya matamanio yako.
 
Ukitaka kupiga kura unatakiwa utoe shilingi ngapi, Ili tujue kuwa waliochanga hela kwa hiari ndio kura zake?
Hivi kwanini CHADEMA mnatafuta vichaka vya kuficha sura zenu. Kwanini hamtaki kuchagia pesa lisuu anunue gari la kifahari la kuzurula nalo mitaani?
 
Eleza uhuru unaohitajika!, zaidi ya uliopo!
Mwenyekiti wa ccm ni chama mshindani, hapaswi kuwa ni msimamizi wa tume. Wakati wa uchaguzi nchi inapaswa kuwa chini ya Jaji Mkuu, na sio chini ya rais ambaye anagombea urais. Matokeo ya mgombea yoyote ikiwemo urais yahojiwe mahakamani. Tume ya uchaguzi iondolewe Kinga ya kushitakiwa mahakamani kwa makosa ya kuharibu uchaguzi.
 
Hivi kwanini CHADEMA mnatafuta vichaka vya kuficha sura zenu. Kwanini hamtaki kuchagia pesa lisuu anunue gari la kifahari la kuzurula nalo mitaani?
Hiyo ni hiyari, sio kodi. Tuliochanga tuko sawa na ambao hawajachanga.
 
We ni mjinga sn, hii ni harambee ya online na siyo kwenye mikutano,75% ya wapiga kura hawapo kwenye social media.
 
Mwenyekiti wa ccm ni chama mshindani, hapaswi kuwa ni msimamizi wa tume. Wakati wa uchaguzi nchi inapaswa kuwa chini ya Jaji Mkuu, na sio chini ya rais ambaye anagombea urais. Matokeo ya mgombea yoyote ikiwemo urais yahojiwe mahakamani. Tume ya uchaguzi iondolewe Kinga ya kushitakiwa mahakamani kwa makosa ya kuharibu uchaguzi.
CCM hawezi kukubali maana watashindwa kabla ya misa ya kwanza haijaisha
 
Hiyo ni hiyari, sio kodi. Tuliochanga tuko sawa na ambao hawajachanga.
Lissu amekivua nguo chama Chenu kwa kuonekana ni chama cha kibabaishaji kwa kukosa na kushindwa kumpatia gari makamu mwenyekiti wake.
 
Back
Top Bottom