Nikikwambia inawezekana wewe ni robot utasemaje wakati kusema hivyo hqkumaanishi wewe uwe robot?Duh aisee! naanza kupata mashaka na utimamu wa ufahamu wako. Neno "inawezekana" ni kauli dhaifu sana, sasa povu linakutoka la nini? et huwezi hata kulipinga.
Ukipata muda naomba umchunguze na baba askofu Gwajima Kama amempokea yesu na kubatizwa ili nijue sadaka yangu jumapil naipeleka kwake au nitombeee tu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu hulaliHahahahaaaaa.....Haki nimecheeeekaaaa
Kaka kiranga,mimi si muumini wa hizi dini hata kidogo.Lakini siwezi kuwabishia kwamba hakuna mungu sababu sina njia ya kuathibitishia kwamba kweli hayupo,na vilevile siwezi kuwakubalia kwamba yupoKwani kuamini wewe ni robot kunakufanya wewe uwe robot?
Mbona unajikita sana kwenye kuamini, wakati kuamini mtu anaweza kuamini uongo wowote tu?
Mkuu inaanza imani halafu uthibitisho unafuata,hebu ziangalie nadharia za 'big bang' zinavyoelezea chanzo cha mwanadamu.Kwani kuamini wewe ni robot kunakufanya wewe uwe robot?
Mbona unajikita sana kwenye kuamini, wakati kuamini mtu anaweza kuamini uongo wowote tu?
ILA wewe ni kati ya manguli wa siasa humu ndaniMimi huwa wananijua sio mtu wa ushabiki wa Kidini
Sayansi inaweza kuthibitisha 10 si square root ya 2, katika base 10 math?Kaka kiranga,mimi si muumini wa hizi dini hata kidogo.Lakini siwezi kuwabishia kwamba hakuna mungu sababu sina njia ya kuathibitishia kwamba kweli hayupo,na vilevile siwezi kuwakubalia kwamba yupo
KUMBUKA hata sayansi haikani moja kwa moja kwamba mungu hayupo na bado kuna tafiti bado zinaendelea kuhusu uwepo wa mungu.
ILI ukane uwepo wa mungu inabidi uje uthibitisho usioacha shaka ili na wao wajione wajinga waache kuabudu
Unahitimisha jambo usilolijua?Mkuu inaanza imani halafu uthibitisho unafuata,hebu ziangalie nadharia za 'big bang' zinavyoelezea chanzo cha mwanadamu.
LAKINI hata dini haijamwelezea Mungu kama kiumbe,bali imeelezea Mungu kama STATE/hali(wanadini nisahihisheni hapa).
Sayansi inaamini chanzo cha mwanadamu ni 'nature' sasa kama mungu ni hali kwanini tusione kwamba ndio hiyo nature?
Kwani wewe umeshazijua tabia zote za nature?Unahitimisha jambo usilolijua?
Nature ni nini?
Nature ina upendo wote?
Hisabati ndio inaweza kuthibitisha hivyoSayansi inaweza kuthibitisha 10 si square root ya 2, katika base 10 math?
Kwani we ulilala!?
Nakuuliza nature ni nini, wrwe unanijibu kwa kuniukiza kama nimezijua tabia zote za nature.Kwani wewe umeshazijua tabia zote za nature?
Kwa nini hisabati inaweza kuthibitisha hivyo?Hisabati ndio inaweza kuthibitisha hivyo
Huwezi kuthibitisha kuwa Mungu hayupo.Naweza kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Using proof by contradiction.
Kama ninavyoweza kuthibitisha 10 si square root ya 2,
Using proof by contradiction.
Yani hata hujanitaka nithibitishe.Huwezi kuthibitisha kuwa Mungu hayupo.
Kwani hakuna binadamu mwenye akili salama anayeweza kufanya hivyo.