TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

Hizi dini uongo mtupu mwanzo mwisho.

Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo.
Uhai wako tu ni proof Mungu yupo. Huwezi kwenda porini ukakuta nyumba halafu ukasema imetokea tu, kuna mtu ameijenga. Mwanadamu ni matokeo ya higher level of intellegence
 
Uhai wako tu ni proof Mungu yupo. Huwezi kwenda porini ukakuta nyumba halafu ukasema imetokea tu, kuna mtu ameijenga. Mwanadamu ni matokeo ya higher level of intellegence
Kama uhai wangu ni proof Mungu yupo, kifo ni proof kwamba Mungu hayupo?

Kama vyenye complexity haviwezi kutokea tu, ni lazima viwe na aliyeviweka, unaelewa hilo linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Kwa sababu, kwa kutumia kanuni yako, huyo Mungu naye atahitaji kuwa na aliyemuumba, na aliyemuumba aliyemuumba naye atahitaji aliyemuumba. Ad infinitum, ad nauseam.

Bila kujua, wewe mwenyewe unatoa ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Unapoandika kwamba mwanadamu ni matokeo ya higher level ya intelligence, unafanya makosa ya ku assume kwamba complexity/ intelligence ni lazima itokane na complexity/ intelligence kubwa zaidi.

Bila kujua kwamba lower complexity/ intelligence can grow into higher complexity/ intelligence.
 
Mitume walisikia neno la Yesu wakaamini
Paulo alipelekwa kwa mentor japo baadae alienda saudi arabia jangwani kufundwa zaidi (revelation).

Imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Mungu. TB anapwaya anaposema yeye hayo mambo alimalizana na Yesu tumboni kabla hajazaliwa.

Kwa holy spirit dispensation hii ni spiritualism sio faith.

Nakushukuru kwa maoni makini sana mkuu
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji2955][emoji2955] Kwa hiyo hawamtaki? Na mafundisho yake je? nayo ni batili?
 

Mkuu matunduizi salam tena kwako,
Hayo maneno kwamba T.B Joshua alimalizana n a Mungu toka tumboni umeyatoa wapi? Naomba una ushahidi uuweke hapa tuuone wote

Ahsante
 
Nilishasema haya ni maujanja tu ya maisha, zingatia kwa makini kuwa "maisha ni mchezo"
 
Wewe ulimpima wapi kuamini kuwa hayupo
Kichwani kwangu, nimeandika hoja hapa JF, nimetoa proof by contradiction kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, ni tungo ya watu tu..

Unajua proof by contradiction ni nini?
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2955][emoji2955][emoji2955]Kwamba Rashidi naye humtambui?
Hapana mkuu maana mm nasali pale ubungo na baba askofu alikuwa anatuambia mentor wake n TB JOSHUA Sasa cha ajabu mentor hakuwah kumpokea Jesus Christ vp Sasa yeye baba askofu amempokea MWOKOZI?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hapana mkuu maana mm nasali pale ubungo na baba askofu alikuwa anatuambia mentor wake n TB JOSHUA Sasa cha ajabu mentor hakuwah kumpokea Jesus Christ vp Sasa yeye baba askofu amempokea MWOKOZI?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Safari ya kuelekea mbinguni ina changamoto nyingi sana [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna. Jamaa anasisitiza kuwa huyo jamaa KAMALIZANA NA MABOSS WAKE wa secret society so kuna hiden issues hapa ni ngumu kuzielewa kwa sasa.
 
Tb Joshua ni mpigaji tu ni mlaghai ambae hata yeye mwenyewe anajijua ni mbabaishaji isipokua waumin wake ndo nyie ambao mmeshakubali kudanganyika na mlikua tayar kutoa mali zenu zote mkamkabidhi
 
Imani inaweza kuwa ya uongo au ya ukweli.
OK, kwa hiyo mtu akileta imani ya uongo hapa JF, akiwahubiria watu wale mavi, ni dawa ya Covid-19.

Halafu wewe unajua kula mavi si dawa ya Covid-19, bali kunasababisha kipindupindu.Huyu mtu anayeleta imani potofu atatuletea mlipuko wa kipindupindu hapa.

Ukisema hii imani ni potofu, halafu mtu akakwambia usiseme hivyo, unaingilia imani ya watu, utaona sawa?

Utaona ni kweli umeingilia imani ya watu ukae kimya au utaona una wajibu wa kusema ukweli na ku expose huu uongo kwamba mavi ni dawa ya Covid-19?
 
Ukipata muda naomba umchunguze na baba askofu Gwajima Kama amempokea yesu na kubatizwa ili nijue sadaka yangu jumapil naipeleka kwake au nitombeee tu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Dah! *****! Nimecheka kisenge.
Tombea tu mkuu, maana hata yeye ukimpelekea anaenda kutombea, unakumbuka ile dada nyeupe ilivyomfanya akatoa sauti kama exhaust ya lorry aina ya fiat wakati anapiz?
 
Point yangu ni kwamba imani ni imani tu iwe uongo au ya kweli, ila hukatazwi kuonesha imani fulani ni potofu.
 
Point yangu ni kwamba imani ni imani tu iwe uongo au ya kweli, ila hukatazwi kuonesha imani fulani ni potofu.
Imani ni imani tu maana yake nini? Imani inayoyotokana na upotofu ni sawa na inayotokana na ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…