Dr Bill
JF-Expert Member
- Aug 26, 2020
- 463
- 436
Kuwa Na Heshima Nchi Tanzania haiwezi Kuwa nchi ya Kujikosha kwa Hao mabeberu Lazima Jambo linalofanywa wanaogopwa Mbona Swala Corona Tumesimama kama Nchi na Tunasonga Wanaojikosha kwa mabeberu wanajulikana ila sio Serikali ya MaguUsizubaishwe na haya!!! Wanaowaita mabeberu wanafuatilia kwa makini sana huu uchaguzi!!! Hii ni move ya kujikosha ila uzuri ni kuwa hao mabeberu wana taarifa nyingi sana za udhalimu unaofanywa kwenye uchaguzi huu!!! Lazima kitaeleweka tu mwaka huu!!