Uchaguzi 2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem

Status
Not open for further replies.
Usizubaishwe na haya!!! Wanaowaita mabeberu wanafuatilia kwa makini sana huu uchaguzi!!! Hii ni move ya kujikosha ila uzuri ni kuwa hao mabeberu wana taarifa nyingi sana za udhalimu unaofanywa kwenye uchaguzi huu!!! Lazima kitaeleweka tu mwaka huu!!
Kuwa Na Heshima Nchi Tanzania haiwezi Kuwa nchi ya Kujikosha kwa Hao mabeberu Lazima Jambo linalofanywa wanaogopwa Mbona Swala Corona Tumesimama kama Nchi na Tunasonga Wanaojikosha kwa mabeberu wanajulikana ila sio Serikali ya Magu
 
Mtajua hamjui mwaka huu. Subirini tu
 
TBC1 wako na weledi vichwani hawawezi kurusha kauli za kichochezi za Tundu live

Ok tutapata mkutano wote kwenye mitandao ya kijamii ili tuchuje huo uchochezi
 
Wataonyesha jukwaaani tu tuwape muda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawaaminiki hao.. Bora wananchi walio dar wakajazane uwanjani kusikiliza... Tegemea kukatwa katwa matangazo na kupotea kabisa hewani...
TBCCCM ina wahudumu wenye roho mbaya balaa
 
Sipendi mubashara bila sauti 'Live coverage without voice in other word moving objects without any sound or noises'
 
Mungu ibariki TBC
 
Usizubaishwe na haya!!! Wanaowaita mabeberu wanafuatilia kwa makini sana huu uchaguzi!!! Hii ni move ya kujikosha ila uzuri ni kuwa hao mabeberu wana taarifa nyingi sana za udhalimu unaofanywa kwenye uchaguzi huu!!! Lazima kitaeleweka tu mwaka huu!!

Usiniambieee
 
Afadhali Kama kweli nione kituko Cha mbagala Chadema mbagala hawana Watu labda wakodi malori na mabasi kupeleleka mbagala

TBC pigeni picha vizuri hakikisheni Kila mtu anaonekana vizuri ili wakazi wa mbagala wajionee wenyewe waliohudhuria Kama ni wakazi wa mbagala au wa kuletwa.Mpiga picha kamera iende kwa wanaosikiliza izungushe Sana huko sio jukwaa kuu tu
 
Ilikuwa clouds media wafanye full coverage,wakawahiwa na tcra
 
Madini yakianza kutemwa, lazima watakatiza matangazao ....!!
 
Jani la Gamboshi hili
 
URONGO
 
Hao watakatakata maudhui hata sauti za wananchi kushangilia nazo watazikata

Bora wasijisumbue tu waendelee kufanya yao hatuna haja nao!
 
Kama hizi ni taarifa za kweli basi muda wa Dr Ayoub Ryoba kuwa mkurugenzi wa TBC unafikia tamati.

Jamaa ajiandae kurudi kufundisha vyuoni, lazima atatolewa hapo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…