technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi kwa taifa rais wetu anahutubia taifa katika kipindi kama hiki matangazo yanakatwa Youtube ya ikulu hakuna kinachoendelea, Twitter hakuna update hivi mnaajiriwa kufanya kazi gani kama hotuba ya rais kipindi kigumu kama leo rais wa nchi anaongea na umma bila kuonekana. nashauri watu wachukuliwe hatua haraka sana.
KwiliHuu ni zaidi ya uhujumu uchumi kwa taifa rais wetu anahutubia taifa katika kipindi kama hiki matangazo yanakatwa Youtube ya ikulu hakuna kinachoendelea, Twitter hakuna update hivi mnaajiriwa kufanya kazi gani kama hotuba ya rais kipindi kigumu kama leo rais wa nchi anaongea na umma bila kuonekana. nashauri watu wachukuliwe hatua haraka sana.
Uso umeumbwa na aibu.usilaumu labda ni muendelezo wa zile bongo movie , jiulize ana jambo gani la kusema wakati ameshasema msimamo wake toka mwanzo kwamba ka ugonjwa ni kadogo
Mkuu umeongea vyema hawa jamaa unaweza sema hii media sio ya taifa kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamerudi mtazameHuu ni zaidi ya uhujumu uchumi kwa taifa rais wetu anahutubia taifa katika kipindi kama hiki matangazo yanakatwa Youtube ya ikulu hakuna kinachoendelea, Twitter hakuna update hivi mnaajiriwa kufanya kazi gani kama hotuba ya rais kipindi kigumu kama leo rais wa nchi anaongea na umma bila kuonekana. nashauri watu wachukuliwe hatua haraka sana.
Mkutano wa Mbowe na waandishi wa habari, sababu ya kuuzima ni huu wa Chato...ni laana ya kuhujumu viongozi wa vyama vya upinzani.
Wewe sasa ndio unatibua kabisa, na kutusababishia gharama nyingine. Uwanja wa ndege tumejenga, sasa unahimiza tukaweke mitambo kabisa ya kutangaza habari tokea huko kijijini?Tanzania jiwe anaongea tena kipindi critical kama hichi cha korona wanaweza mitambo ya kijinga, hata live yenyewe haikua live ilikua ni audio tu. Ila yeye naye kafata nini chato huko hata miundombinu hakuna? Mzee si akae dar apambane na hali? ye wengine wanaumia anenda kwenye mapumziko? hahaha huyu mzee bna
Nahisi ni mawingu na hali ya hewa ndio maana matangazo yalikuwa yana katikakatika. Usilaumu sana jamaa siku hizi wameimprovu kiduchu. Japokukuwa kwenye live broadcasting bado.Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi kwa taifa rais wetu anahutubia taifa katika kipindi kama hiki matangazo yanakatwa Youtube ya ikulu hakuna kinachoendelea, Twitter hakuna update hivi mnaajiriwa kufanya kazi gani kama hotuba ya rais kipindi kigumu kama leo rais wa nchi anaongea na umma bila kuonekana. nashauri watu wachukuliwe hatua haraka sana.
Nasema arudi dar, hakuna sababu ya kuendeleza chato sasa hivi, chato haina umuhimu mkubwa nchini kuzidi sehemu kama Arusha, Mwanza, tunapeleka investment vijijini kisa kazaliwa huko, wtf?Wewe sasa ndio unatibua kabisa, na kutusababishia gharama nyingine. Uwanja wa ndege tumejenga, sasa unahimiza tukaweke mitambo kabisa ya kutangaza habari tokea huko kijijini?
Nakusihi urudi hapa JF baada ya miaka miwili utueleze kama hilo tatizo litakuwepo tena wakati huo!
Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi kwa taifa rais wetu anahutubia taifa katika kipindi kama hiki matangazo yanakatwa Youtube ya ikulu hakuna kinachoendelea, Twitter hakuna update hivi mnaajiriwa kufanya kazi gani kama hotuba ya rais kipindi kigumu kama leo rais wa nchi anaongea na umma bila kuonekana. nashauri watu wachukuliwe hatua haraka sana.
usilaumu labda ni muendelezo wa zile bongo movie , jiulize ana jambo gani la kusema wakati ameshasema msimamo wake toka mwanzo kwamba ka ugonjwa ni kadogo
Conov effectHuu ni zaidi ya uhujumu uchumi kwa taifa rais wetu anahutubia taifa katika kipindi kama hiki matangazo yanakatwa Youtube ya ikulu hakuna kinachoendelea, Twitter hakuna update hivi mnaajiriwa kufanya kazi gani kama hotuba ya rais kipindi kigumu kama leo rais wa nchi anaongea na umma bila kuonekana. nashauri watu wachukuliwe hatua haraka sana.
Mkuu, wewe ni mmoja kati ya wachache ndani ya nchi hii mnaong'ang'ania mbaki na akili zenu timamu?Nasema arudi dar, hakuna sababu ya kuendeleza chato sasa hivi, chato haina umuhimu mkubwa nchini kuzidi sehemu kama Arusha, Mwanza, tunapeleka investment vijijini kisa kazaliwa huko, wtf?