Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
- Thread starter
- #141
Sawa..Sioni tusi hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa..Sioni tusi hapo.
Duuuhh, naona Balimi inachemka kichwani. Huyu jamaa kama kweli ameileta hii hoja kiofisi naona watapata madini ya kufanyia kazi. Lakini watafanikiwa tu kama wataanza na hilo la kuwa huru kwanza. Maana hata hapa kuna baadhi ya maoni jamaa anashindwa kupokea kama ni ushauri kwa sababu hayuko huru.Hayo ndio maoni mkuu we soma hapo utakutana nayo mengi... USHAURI MSIFANYE KAMA TV YA CCM.. HIYI NI YA TAIFA.. WATANGAZAJI WAZEE WATOENI.. VIPINDI VYA KIPUUZI KAMA CHEREKO MARA SIJUI TAFAKURI ONDOENI MARA MOJA.. FUNGUENI CHANNEL ZINGINE KWA AJILI YA MAMBO YA MICHEZO
ANGALAU MUWE NA INTERNATIONAL FORUM KIDOGO..
PICHA NI MBOVU SANA BADILISHENI HIYO ISHU..
ONDOENI KABISA VIPINDI VYA KUMTUKUZA MAGUFULI.. YY NI MTU NA SI MUNGU SOMEWHERE, ANYTIME ATAKUFA TU NA TBC ITABAKIA..
ANGALIENI WATANGAZAJI VIJANA.. HAO WANYAKYUSA WA MBOZI WANGEBAKIA KWENYE RADIO TU..
Nimepitia maoni. Nasikitika kwamba bado wengi mmejikita kwenye kulalamika zaidi badala ya kupendekeza angalau program ideas ili kulimaliza tatizo.
InaoNyuzi za malalamiko zipo nyingi sana na tayari yanafahamika. So nasisitiza tujielekeze zaidi kwenye mapendekezo kuhusu kinachotakiwa kufanywa huku tukitoa ideas ambazo zinaweza kufanyiwa kazi.
TBC ni mali yetu sote. Ni lazima tutoe mawazo yanayojenga ili ifanikiwe.
Naelewa tuko disappointed kwa sababu ya itikadi zetu na jinsi tunavyohisi hakuna fairness, lakini tuweke grudges pembeni na tuelekeze njia sahihi ya kupita.
Tusilalamike tu ili kuponya nafsi zetu. Tutoe constructive ideas ili kuiponya TBC yetu.
Maoni yangu ni haya
sorry wandugu, Hivi iyo TBC ndio kitu gan at?Maoni yangu ni haya
Hivi hii tbc bado tu ipo mi cjawai itazama kama miaka 3 hivi nikajua ishakufa.Hapo naomba kutofautiana na wewe. Kwa Rais aliepo madarakani swala ni kujenga hoja baada ya kujitathmini. Taasisi kama TBC imezeeka kimuundo na kimfumo. Kwa kutizama tu vipindi vyao unajua jinsi wanavyoplan. In incremental. Ya mwaka ujao ni ya mwaka jana badilisha hapa na pale ...maisha yasonge. TBC inahitaji total overthaul. Unapotafuta mkuu wa taasisi na vitengo unatafuta mtu mwenye vision na uwezo wa kusimamia vision. Nani asieikumbuka National Housing ilivyobadilika baada ya kupata viongozi sahihi? CRDB Je, nk. Taasisi zimekuwa tamu mpaka watu wameanza kupigana vikumbo kwa fitna.
Tubadili mbinu jinsi ya kutafuta CEOs na waachwe watekeleze vision zao. Political interference iwe pia tamed.
Utamlaumu Rais kama kweli anaingilia kazi nzuri. Lakini kama kazi ni mbaya unamtegemea akae kimya?
Tuwasaidie TBC kwa kuwaeleza njia na mbinu sahihi za kupitia watoke hapo walipo maana kweli wana hali mbaya.
Its too sad to see our cash cow being mismanaged.
Ng'ombe huyo alipaswa kutoa lita 20 lakini anayoa lita 5 japo anakula majani yaleyale.
Nipo swahiba, angalia post #2 ndo kawakilisha mawazo yangu, siongezi wala sipunguziSwahiba bado sijaona maoni yako hapa![emoji23]
Umeongea point sana mkuuuLakini pia na ukweli usemwe. TBC haiwezi kuwa huru kiviile. Labda tuwashauri ccm waje na tv yao waache kuitumia TBC kichama. Wanatuharibia. Inaendeshwa kwa kodi za raia wote na wageni pia.
Hii dhana ya serikali ya ccm inatumika visivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani TBC hapo msiboreshe mitambo ...fungeni kwanza kituo mkajipange ...mtangazaji anatangaza utadhan yupo mateka....alaf sishangai kuonesha mikitano live...nashangaa kuirudiarudia kila Mara cjui mmekosa vipindi.....jiwe akifanya katukio kamoja katikati ya wiki basi nyie mtakesha na hako katukio mwezi mzima ...ziara cjui Mara kutumbua...ahh mnakera aise yani masuara mengine hamna kabisa...cjui mmefumba macho...sasa quality ya video ndo kabisaaaaaaa......ushauri wangu ndo huo ...fungeni kwanza... Mi kipaji cha utangazaji nnacho mkisha kaa sawa nitafuteni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mazee ndo yamejazana....
Taarifa ya habari utadhani watangazaji wamekaa kuzimu....giza si giza...mazee tuu ndo yanatangaza
Tbc mnaona. Mnavokera watanzania wenzenu chanel ya taifa lakini hata taifa stars ikicheza mach hawaonhyeshi cjui wanamatatizo gani hii ni nchi yetu wote lakini hamjali yaani mach waonyeshe azam nyie mmekazana na viziara uchwara vya kuzindua tawi la ccm hivi mpo serious kweli??? Mnafanya watz wawaone nyie sio wazalendo hata kidogo. Yaani azam wanakuwa wazalendo kuwashinda nyie wakat nyie ndo mnajiendesha kwa kodi za walalahoi.. Mnaipendelea sana ccm mbona hatuoni mkitangaza habar za wapinzani kila siku ni ccm tu huo ni woga achani umama huo. Kama ccm wanataka habar zao zionekane si wafungue tv yao ila isiwe hio ya watanzania wote..mnatufanya tuichukie tv yetu wenyewe maana mi cjaangalia tbc miaka kama 3 hivi mnakera na kuboa.BORA HATA MSITU UNGEKUWA MPYA, YAANI MSITU NI ULE ULE NA NYANI NI WALE WALE WAMEJIFUNIKA USO KWA VIGANJA VYA MIKONO YAO N KUJIDAI ETI NI NYANI WAGENI
Hicho kitu haiwezekani TBC ni tawi la ccm na niwababuzizi sana kisiasaNdugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa vipindi na ubunifu.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.
Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.
Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.
Karibuni sana.
Mimi nawaomba jaman ndugu zangu uongozi wa TBC1 muboreshe ubora au quality za picha na video zenu sio mp4 yaan zinakuwa hazina ubora kbsa emu mjitahidi jaman nawakubari sanaTBC mpaka iwe mpya sio rahisi.
1. Mwandaaji na aina ya vipindi ni vya kizee mno. Ubunifu ni zero.
2. Mnavaa kama madereva na sio watangazaji. Mnekukula mmenenepeana haswa wanawake ni vipipa. Hao rudisha nyuma kuandaa na kuongoza vipindi. Eleweni kutangaza kwenye tv ni zaidi ya kazi ya PR. Muonekano ndio branding. Get people with best voice and appearence plus brains. WAPO TELE.
3. Hamjaweza tumia teknologia ipasavyo. Quality ya video zenu inasikitisha. TV ya Taifa? No way. Mnashindwaje na madogo kama ayo, itv nk ?
4. Wekeni channels tofauti. Say TBC 1 huko wekeni watu wa serikali na programme za kuisifu serikali. Fine. TBC 2 ya biashara na programme zilizochangamka za vijana, kisasa, nk
TBC 3 say International hii ni ya utalii na kwa kiingereza. Huko unaiuza Tanzania duniani na sera ya viwanda na ipatikane free duniani kote na balozi zetu na airport zote na portal zote kubwa. Weka vivutio, mahoteli, mbuga, na quality ya picha iwe ya kimataifa.
5. Hiyo serikali mtandao ionekane kimataifa. Mambo ya passport, viza, uwekezaji na fursa. Wawepo watu wanaojua lugha na sio kiingereza cha kihaya.[emoji2][emoji1]
Acha tualalmike kwanza buana wamezidi.Nimepitia maoni. Nasikitika kwamba bado wengi mmejikita kwenye kulalamika zaidi badala ya kupendekeza angalau program ideas ili kulimaliza tatizo.
Nyuzi za malalamiko zipo nyingi sana na tayari yanafahamika. So nasisitiza tujielekeze zaidi kwenye mapendekezo kuhusu kinachotakiwa kufanywa huku tukitoa ideas ambazo zinaweza kufanyiwa kazi.
TBC ni mali yetu sote. Ni lazima tutoe mawazo yanayojenga ili ifanikiwe.
Naelewa tuko disappointed kwa sababu ya itikadi zetu na jinsi tunavyohisi hakuna fairness, lakini tuweke grudges pembeni na tuelekeze njia sahihi ya kupita.
Tusilalamike tu ili kuponya nafsi zetu. Tutoe constructive ideas ili kuiponya TBC yetu.
Aina fulani ya ng'ombe wa kisasa.sorry wandugu, Hivi iyo TBC ndio kitu gan at?
Umeongea point lkn CEO awe mtanzania sema sasa iv teknolojia inabadilika sana ivo hao TBC ina wazee ambao hawawez kwendana na kasi ya teknolojia ivo wa ajiri vijana bana ambao wanaenda na wakati na kasi ya teknolojiaPia ajirini watangazaji warembo wanaovutia jifunzeni hata kwa citizen TV watangazaji wao walivo. Tatizo TBC mna mazoea mno. Ikiwezekana TBC iajiri CEO kutoka nje ya nchi mwenye uzoefu wa mambo ya habari.
Na hao kina grace kingalame kwanini wasipumzike kutangaza yani mvuto zero kabisa
Mwanangu umeongea yale yaliyoko mioyoni mwa watz wengi aisee umefikisha kwa hisia kama ambavo najifeel hongera ni dhambi kubwa sana tv ya taifa kuigeuza na kuwa ya ccm wapumbafu sana.Njia pekee ya kuifanya TBC irudi kutazamwa na wananchi ni KUACHANA KABISA NA CCM na kubadili jina na ikiwezekana badilisheni hata jengo ili kuondoa kabisa laana mliyopewa , ukitaka kujua chuki ya wananchi kwa ccm , jaribu Leo hii kumfufua Bob Marley halafu tangaza kwamba anajiunga na TOT halafu muandalie onyesho la wazi uwanja wa Taifa au Mnazi Mmoja , uone hata kama ataambulia watu 10 , kuiunganisha TBC na ccm ni kosa ambalo halina msamaha .
Nina mengi mno ya kukufahamisha lakini kwa leo niishie hapa .
Malalamiko hayakwepeki TBC inaliabisha taifa kabisa ningekuwa Raisi ningefumua mfumo mzima nakukaribisha wazoefu wanaoendana na kasi ya karne ya 21.Acha tualalmike kwanza buana wamezidi.