TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Tbc acheni kutumika, kuweni creative kama tido mhando. Alitaka tbc ijiendeshe ilinkupunguza mzigo kwa serikali, ila nyie mnaogopa kujiendesha mnataka kujikosha kwa sirikali
 
Kwa nini watangazaji wenu hawana mvuto Yaaani wale sijui ndio wamama kwa kweli siwezi angalia TBC kabisa hilo moja

Nasikia kuwa nyie kutwa nzima mnapiga nyimbo za kumsifu Magufuli hivi nyie ni Shirika la serikali au shirika la chama?????
 
Kama hawataki kubadilika wasichezee kodi zetu bure kwa vipindi hewa, pia nimemshangaa Sam mahela kaenda kule naye kafubaa weledi wote umekwisha au ni zile rangi za ajabu za hyo TV.
Mkuu, Sam anataka kuboresha career yake, wewe na mimi hatujui anataka nini katika maisha yake. Huwezi kujua anaweza kuwa na furaha kazini kuliko alipokuwa. His priorities come first..
 
Mkuu, Sam anataka kuboresha career yake, wewe na mimi hatujui anataka nini katika maisha yake. Huwezi kujua anaweza kuwa na furaha kazini kuliko alipokuwa. His priorities come first..
I agree with you kutafta fursa ila naye ndo kanywea sana makeke yote kwishney ka kanyweshea mvua uchangamfu wote kwishney, sio yeye tu Watangazaji wote wako hivo sasa sijui ndo mitambo inawafubaisha hata sielewi.
 
Kama hawataki kubadilika wasichezee kodi zetu bure kwa vipindi hewa, pia nimemshangaa Sam mahela kaenda kule naye kafubaa weledi wote umekwisha au ni zile rangi za ajabu za hyo TV.
Huyu Sam Manot kwa sasa anaanza kupoteza uhalisia wake,kawa mpiga makofi na vinubi kwa ilani pendwa.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Ili kuunga mkono juhudi za TCRA, niliamua kuiblock hii channel kama walivyoblock local channels nyingine.

Hii imeongeza ufanisi wangu katika kuwakwepesha wanangu kujifunza ujinga. Wenye akili zao hawawezi kupoteza muda kuangalia ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa mstaarabu, wape uhuru wachangiaji, naona unaleta ukada! Najua huna mamlaka wala nguvu ya kuyafanyia kazi maoni na mapendekezo ya wananchi na wala hakuna kiongozi/mfanyakazi yeyote wa TBC mwenye uwezo wa kufanya hivyo so tulia, waache wachangiaji watapike nyongo zao maana palipo na kero ndipo maoni hutolewa. Kifupi: TBC ni ufujaji wa kodi za Watanzania, haikupaswa kuwepo maana hata viongozi wa juu kabisa wamethibitisha kutoiangalia!

Lakini lengo la Uzi huu sio kutema nyongo..

Zipo nyuzi lukuki za TBC ambazo zimebeba kero na malalamiko. Hapa tunataka tupate solutions kupitia constructive ideas zitakazotolewa..

Lete idea kama unayo, sio nyongo.
 
Kweli TBC kuna haribu watu, hivi kile kipindi cha this week.perspectives kilishaishiaga wapi jamani cha yule Mzee?
Yule Mzee yupo nadhani, vipindi vya aina kama ile nashauri vingeanzishiwa mgawanyo wake,hapa namaanisha kuwe hata na TBC 3 kwaajili ya issues pasua kichwa kama zile.
 
Back
Top Bottom