TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Duuuhh, naona Balimi inachemka kichwani. Huyu jamaa kama kweli ameileta hii hoja kiofisi naona watapata madini ya kufanyia kazi. Lakini watafanikiwa tu kama wataanza na hilo la kuwa huru kwanza. Maana hata hapa kuna baadhi ya maoni jamaa anashindwa kupokea kama ni ushauri kwa sababu hayuko huru.
 
Inaoneka una nia njema kabisa na chombo hiki lakini Hata tushauri tukiwa uchi wa mnyama hamna lolote. Matatizo ni mengi sana kwenye chombo hiki mnachokiita chombo cha taifa kumbe si kweli ni chombo cha ccm.Kwanza mkianzisha Television ya Taifa njooni tushauriane la kufanya maana hii mnayoita TBC kwa sasa ni Mali ya CCM si vinginevyo.
Nimepitia maoni. Nasikitika kwamba bado wengi mmejikita kwenye kulalamika zaidi badala ya kupendekeza angalau program ideas ili kulimaliza tatizo.
Inao
 
Hivi hii tbc bado tu ipo mi cjawai itazama kama miaka 3 hivi nikajua ishakufa.
 
Lakini pia na ukweli usemwe. TBC haiwezi kuwa huru kiviile. Labda tuwashauri ccm waje na tv yao waache kuitumia TBC kichama. Wanatuharibia. Inaendeshwa kwa kodi za raia wote na wageni pia.
Hii dhana ya serikali ya ccm inatumika visivyo.
Umeongea point sana mkuuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
BORA HATA MSITU UNGEKUWA MPYA, YAANI MSITU NI ULE ULE NA NYANI NI WALE WALE WAMEJIFUNIKA USO KWA VIGANJA VYA MIKONO YAO N KUJIDAI ETI NI NYANI WAGENI
Tbc mnaona. Mnavokera watanzania wenzenu chanel ya taifa lakini hata taifa stars ikicheza mach hawaonhyeshi cjui wanamatatizo gani hii ni nchi yetu wote lakini hamjali yaani mach waonyeshe azam nyie mmekazana na viziara uchwara vya kuzindua tawi la ccm hivi mpo serious kweli??? Mnafanya watz wawaone nyie sio wazalendo hata kidogo. Yaani azam wanakuwa wazalendo kuwashinda nyie wakat nyie ndo mnajiendesha kwa kodi za walalahoi.. Mnaipendelea sana ccm mbona hatuoni mkitangaza habar za wapinzani kila siku ni ccm tu huo ni woga achani umama huo. Kama ccm wanataka habar zao zionekane si wafungue tv yao ila isiwe hio ya watanzania wote..mnatufanya tuichukie tv yetu wenyewe maana mi cjaangalia tbc miaka kama 3 hivi mnakera na kuboa.
 
Hicho kitu haiwezekani TBC ni tawi la ccm na niwababuzizi sana kisiasa
 
Pia ajirini watangazaji warembo wanaovutia jifunzeni hata kwa citizen TV watangazaji wao walivo. Tatizo TBC mna mazoea mno. Ikiwezekana TBC iajiri CEO kutoka nje ya nchi mwenye uzoefu wa mambo ya habari.

Na hao kina grace kingalame kwanini wasipumzike kutangaza yani mvuto zero kabisa
 
Mi
Mimi nawaomba jaman ndugu zangu uongozi wa TBC1 muboreshe ubora au quality za picha na video zenu sio mp4 yaan zinakuwa hazina ubora kbsa emu mjitahidi jaman nawakubari sana
 
Acha tualalmike kwanza buana wamezidi.
 
Umeongea point lkn CEO awe mtanzania sema sasa iv teknolojia inabadilika sana ivo hao TBC ina wazee ambao hawawez kwendana na kasi ya teknolojia ivo wa ajiri vijana bana ambao wanaenda na wakati na kasi ya teknolojia
 
TBC imekosa ubunifu na wabunifu wa vipindi.

Mijitahidi kuwekeza kwenye vipindi na watangazaji wenye "exposure" ya hali ya juu na waso waoga.

Pia TBC isichague habari ya kuonyesha kwani ni Telly ya kila mtanzania.
 
Mwanangu umeongea yale yaliyoko mioyoni mwa watz wengi aisee umefikisha kwa hisia kama ambavo najifeel hongera ni dhambi kubwa sana tv ya taifa kuigeuza na kuwa ya ccm wapumbafu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…