lautery frank
Member
- Oct 12, 2018
- 8
- 3
Kiukweli tbc kuna shetani anawatafuna
Amkeni mapema vinginevyo mtapoteza watazamaji wote
Amkeni mapema vinginevyo mtapoteza watazamaji wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu ukichajazaa wazee wengi hata ubunifu unakuwa hamna..refer taasisi nyingi za serikali kama Ttcl na nyingine..
Mpaka muambiwe jamani...mbona wengine wabunifu...aya bhana ngoja tuone kama hayo mapendekezo yatatiliwa maanani maana vitendo ni vichache kuliko kujiteteaAsante kwa maoni. Namba 2, 4 na 5 ni mawazo elekezi. Hayo mengine ni malalamiko na kejeli ambazo nashauri tujaribu kuziepuka kwa sababu zinaficha ushauri.
Amefuata uteuzihii TV(channel) Isitishe kurusha matangazo yake/ifungwe maana maudhui yake yote pia ubora wa picha ni negative( -9) na hakika hakuna hasara..
SAM MAHELA.. ulifuata nn huku...au ndo masilahi/maslai.. asante
Kwani ukelazmishwa kuangalia TBC acha ujinga wakoAcheni kutumika kisiasa! Tunashindwa kuwelewa kama nyie ni Television ya Taifa au tawi la chama?
Ubora wa picha ni sifuri kabisa!
Nchi hii imejaa vijana zaidi ya 70% nyie asilimia 80 ya vipindi vyenu ni vya kizee!
Mnashindwa hata kuonesha mechi ya Taifa stars mmekalia ziara za viongozi wa chama wakitembelea matawi sijui kigoma gani huko!
Mmetangaza kufunga mitambo mipya ya kisasa na picha ndo kabisa zimerudi zile za kiwango cha chini kabisa!
Subirini na wengine wanakuja na mjiandae kwa POVU ZAIDI
Umeishia darasa la ngapi mkuu?Kwani ukelazmishwa kuangalia TBC acha ujinga wako
Sema wewe utakuwa hulipii wapenda vitu vya bure.. Kwani haupo kwenye list ha dudu bayaUmeishia darasa la ngapi mkuu?
Nenda shule ulosoma kadai ada yako maana hata kuandika hujui achia mbali hoja za msingi za kujibishana na mm!
Na kama wewe ndo muangaliaji wa TBC ndo maana wanazidi kushuka kila kikicha!
Ubora wa picha unaiodhoofisha taasisi yenu ya TBC........Ndugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa vipindi na ubunifu.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.
Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.
Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.
Karibuni sana.
Stop abuse the word Mama You idiot!HUO NI UMAMA kutaka kubadilisha TBC huku jiwe anawa control