Basi acha wao wafanye wanavyoona inafaa wanaoangalia TBC sio wapagani wasio na dini na Majority ni Waislamu na Wakatoliki ndio maana vipindi vyao vinarushwa kila siku za ibada zao Ijumaa na Jumapili,Sitaki dini yoyote ile hiyo sio kazi ya television ya taifa kutangaza dini za watu ziachiwe taasisi husika
Inaonekana unanifuatilia sana. Asante kwa kuwa shabiki yanguMoja ya nyuzi zake humu jamvini Taifa linaloona Urais ni kupokezana vijiti baina ya wakristo na waislam ni taifa la wajinga
Kwamba taifa hili lina pande mbili za Uislam na Ukristo ?Ndio maana imeitwa Televisheni ya Taifa, inatangaza pande zote mbili, ikikuboa angalia televisheni zingine, serikali haina dini, wangekuwa wanatangaza dini moja ingekuwaje?
Hiyo sio kazi ya serikali taasisi husika zikatangaze huko kwenye Tv zao na redio zao sio kwenye television ya TaifaBasi acha wao wafanye wanavyoona inafaa wanaoangalia TBC sio wapagani wasio na dini na Majority ni Waislamu na Wakatoliki ndio maana vipindi vyao vinarushwa kila siku za ibada zao Ijumaa na Jumapili,
Changamoto kweli mambo ya kuingiza dini kwenye Tv ya taifa hayana maana hapo serikali inabeba jukumu la kutangaza dini kinyume na katiba ya jamhuri ya muunganoUmeongea jambo la maana sana. TBC wana madhehebu yao mawili ktk dini mbili. 1. Waislamu (). 2. Wakristo (Roman Catholic). JAMBO HILI SIYO SAWA.
Wapi pamefananishwa ?Kwanini mnapenda kufananisha Uislam na Ukatoliki? Hamuwezi kutaja Ukatoliki bila uislamu? Acheni kuchanganya maji na mafuta
Umerogwa? Acha kua mjinga Serekali haina dini Ila inaongoza Wananchi wenye madhehebu tofauti, una akili wewe?Hiyo sio kazi ya serikali
Andika kirefu cha CCT wengine hawamjui CCT ndio naniKwani mchungaji John Kamoyo wa CCT anayeonekana huko TBC naye ni mkatoliki? Mambo mengine muwe mnatafakari kabla ya kuwa na conclusions.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma andiko vizuri au umekurupuka tu ?Kwani mchungaji John Kamoyo wa CCT anayeonekana huko TBC naye ni mkatoliki? Mambo mengine muwe mnatafakari kabla ya kuwa na conclusions.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni utaratibu wa kijinga wanaishi kwa kodi za wananchi mpaka wasio na dini ila wanaleta upuuzi wa kututangazia mambo ya waislam na wakristo kama vile taifa zima ni la waislam na wakristo pumbavu
Kuongoza wananchi baadhi wenye dini haijipi jukumu la kutangaza dini kinyume na matakwa ya katiba.pumbavuUmerogwa? Acha kua mjinga Serekali haina dini Ila inaongoza Wananchi wenye madhehebu tofauti, una akili wewe?
ni wachache watendewe kama wengiSasa unalia lia nini Mzee wangu? Idadi yenu ni ndogo wao hawawezi wakarusha kipindi kitazamwe na watu laki 1 kati ya million 60 huo ni upuuzi
Shida tupu TV ya taifa itageuka uwanja wa mapambano ya kidini toka asubuhi mpaka usiku toka Jumatatu mpaka Jumapili. Sijui uongozi wa TBC akili hawana kufikiri hayaWanakela sasa,sisi wa kwenye vilinge nasi tunataka kipindi chetu tbs efuemu
Huo ni upuuzini wachache watendewe kama wengi
Duu.. haya bana .ila ni minorIle ni TV ya umma ingekuwa ya waislam au wakristo nisinge leta lalamiko langu hapa
InafikirishaUislam na Wakatoliki ni Dini Dola, wanapenda kutawala! Mtawala anapenda aonekane na asikilizwe Kila wakati!
Mi simo huko🤣Anatumia king'amuzi cha Startimes cha bure kina Channel moja
Kupambu Mchungaji wako alikutuma kamwambie TBC sio ya Kanisa lake uchwara lililoanzishwa na familiaKuongoza wananchi baadhi wenye dini haijipi jukumu la kutangaza dini kinyume na matakwa ya katiba.pumbavu