ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
hapana mkuu huwa naona Dini zote wanaonyeshwa..Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC
Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ?
Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe kupitia television ya umma au ni tabia ya kijinga tu ya uongozi wa TBC na serikali kulifungamanisha hili taifa na hizi dini mbili Uislam na Ukristo ?
Binafsi naomba kupewa muongozo ni nini kipo nyuma kwa TBC kwa utaratibu huu wa miaka nenda rudi kwa television ya umma kutangaza dini hizi mbili Uislam na Ukristo huku ikitambuliwa kama television ya umma wote ?
Na hawa waislam na wakristo kwani wao wenyewe hawana television zao binafsi za kurusha maudhui yao huko na sio kwenye television ya umma ?
Na sio masaa tu pia yana kelele nyingi husukii hata wana sema nini zaidi ya kukaza sauti na kuruka ruka kama wamepandwa na wazimu..Mahubiri ya walokole ni zaidi ya masaa mawili hapo bado kusifu na kuabudu
Watarushaje taarifa za habari,kilimo,vipindi vya mama saa100,michezo nk?
Mahubiri ya wakatoliki na waislam ni short na clear Cha msingi wamezingatia dini zote mbili
Labda wasiokua na dini bado hawajawasilisha maudhui ya wanachotaka kuwahubiria wasio kua na dini wenzao. Ni vizuri kujiridhisha...Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC
Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ?
Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe kupitia television ya umma au ni tabia ya kijinga tu ya uongozi wa TBC na serikali kulifungamanisha hili taifa na hizi dini mbili Uislam na Ukristo ?
Binafsi naomba kupewa muongozo ni nini kipo nyuma kwa TBC kwa utaratibu huu wa miaka nenda rudi kwa television ya umma kutangaza dini hizi mbili Uislam na Ukristo huku ikitambuliwa kama television ya umma wote ?
Na hawa waislam na wakristo kwani wao wenyewe hawana television zao binafsi za kurusha maudhui yao huko na sio kwenye television ya umma ?
Unafikiri TBC ilishuka tu mbinguni au ilitengenezwa na wewe mpumbavu?Kuna watu waliisimika na ndiyo maana ni chanzo cha amani yetu kama unataka mashoga wakahubiri TBC basi umeshindwa.Wananchi wote ndio wanaoifanya hiyo TBC kuendelea kuwepo sifikiri kama unafahamu hili kwa jinsi ulivyo mpumbavu
Unajua kusoma na kuandika ? Kuna sehemu nimesema TBC fmSiyo Kweli mm Ni mpenzi Sana wa radio tbc fm ,radio hyo inapiga nyimbo yoyote wakitaka
Nani amekumbia dini za hili taifa ni Ukristo na Uislam ?hapana mkuu huwa naona Dini zote wanaonyeshwa..
Ni.ewahi kushuhudia wakionesha Wasbabto,Walutheri (KKKT), Anglikana, Morovian,Roman catholic na Madhehebu wengine...
Mayb kama wewe ni mlokole sijawahi kuona wakionyesha kwa sababu sidhani kama wataweza kuonyesha kelele
Ndugu nimekukosea nini hadi unanitukana bila kosa? Hujui kama mimi ni baba yako wa kambo? Unawezaje kutukana utamu wa mama yako bila sababu? Itakuwa aibu kubwa ukipata laana ya baba wa kambo. JiheshimuWewe mwanamke hujapata tu bwana la kukutuliza ?
Wewe ni daktari au mwendawazimu ?Na sio masaa tu pia yana kelele nyingi husukii hata wana sema nini zaidi ya kukaza sauti na kuruka ruka kama wamepandwa na wazimu..
Wanaonyeshwa wale wenye heshima tu na Maadili kama kina Mwakasege na kulola (walojole wanaohubiri kwa Taratibu)
Kwa nini TV ya taifa inabeba jukumu la kutangaza dini za watu. Hizo taasisi husika hazina majukwaa ya kufanya hayo mambo yao ?Labda wasiokua na dini bado hawajawasilisha maudhui ya wanachotaka kuwahubiria wasio kua na dini wenzao. Ni vizuri kujiridhisha...
Lakini kwa sasa waisilamu bila kujali madhehebu na mirengo yao na wakristu bila kujali madhehebu na mirengo yao ndio waliojitokeza na kuomba muda wa kurusha maudhui ya dini zao kwa awamu kupitia chombo hicho muhimu kabisa cha Taifa...
Na kwasabb muda wa ibada za kiislamu na kikrusto ni tofauti, inakua rahisi kuwapangia muda mzuri kwa wao kurusha maudhui yao.
Uliisimika wewe na wanaishi kwa kodi yako pekee wewe mwendawazimu ?Unafikiri TBC ilishuka tu mbinguni au ilitengenezwa na wewe mpumbavu?Kuna watu waliisimika na ndiyo maana ni chanzo cha amani yetu kama unataka mashoga wakahubiri TBC basi umeshindwa.
Wewe mwanamke bado hujapata tu bwana la kukutuliza ? Ukipata useme sio kusumbua wanaume humuNdugu nimekukosea nini hadi unanitukana bila kosa? Hujui kama mimi ni baba yako wa kambo? Unawezaje kutukana utamu wa mama yako bila sababu? Itakuwa aibu kubwa ukipata laana ya baba wa kambo. Jiheshimu
Kulipa kodi si kigezo cha kupindua yaliyosimikwa na Waasisi wa nchi hii.Ulete vurugu na maadili mabovu nchini kisa unalipa kodi? Huu ni zaidi ya uwenda wazimu.Uliisimika wewe na wanaishi kwa kodi yako pekee wewe mwendawazimu ?
Asante kwa majibu mazuri yaliyotukuka,vyombo vya habari ni vingi nchi nzima yeye bado anahangaika na TBC.Lakini hiyo hiyo serikali ya Tbc si imewapa vibali vya kurusha matangazo yenu ya kilokole si mna media ambazo mnaweza kutamka kwa makelele usiku kucha?
Hamjazuiwa bana Tbc kama inazingatia muda wa ratiba za vipindi vyake
Hiyo sio kazi ya TV ya taifa kutangaza kile nacho amini mimi kwa taifa hilo ni jukumu languUmewapelekea maudhui ya kile unachokiamini wakakugomea?
TV ya taifa kazi yake sio kutangaza dini za watu. Wewe ni mpumbavu ?Lakini hiyo hiyo serikali ya Tbc si imewapa vibali vya kurusha matangazo yenu ya kilokole si mna media ambazo mnaweza kutamka kwa makelele usiku kucha?
Hamjazuiwa bana Tbc kama inazingatia muda wa ratiba za vipindi vyake
Wewe ndio muasisi wa upumbavu au ?Kulipa kodi si kigezo cha kupindua yaliyosimikwa na Waasisi wa nchi hii.Ulete vurugu na maadili mabovu nchini kisa unalipa kodi? Huu ni zaidi ya uwenda wazimu.
Kwa sababu ni Television ya taifa tofauti na hizoAsante kwa majibu mazuri yaliyotukuka,vyombo vya habari ni vingi nchi nzima yeye bado anahangaika na TBC.