Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

hawalipi kodi, hata wakilipa wanajinsi ambavyo wanaweza kurudishiwa, wanabebwa kutafuta biashara, ruzuku sasa unategemea nini kipya kwao?
wazalishe wasizalishe wao yao yatakwenda
 
acha uzembe dogo.
 
Wanatakiwa kuajiri waandishi mahiri tena wasiweke mipaka ya habari
 
Hawajui kosa Lao la kuwa makada wa sisiem na upendeleo...?
 
wabadilike wasome nyakati, vinginevyo waendeshe mambo hivyo hivyo wajali tu mishahara yao
 
Vipindi vya akili kama IN THIS WEEK PERSPECTIVE bdo vipo?
 
Ila kwa awamu hii watulie tu hao staffs so long as wanapata mishahara yao. Wakitaka kutunishiana misuli na serikal wasije wakala nyasi bure.
 
Hapo kiongozi nakuunga mkono. Sijui kwa nini huyu jamaa hajatafuta TV ingine inayoonyesha vizuri! Mwanzo Nilifikiri TV yangu ina matatizo, maana kila nitazama TBC naona picha zinaenda kivyake na sauti kivyake!!
 
tetetetet

swissme
 
Wakianza kutangaza habari za ukweli ba uhakika basi watapanda chati.... lakini kama ni propaganda basi wasahau. Watabaki kutazamwa kwenye ubongokids tu basi
 
Wakianza kutangaza habari za ukweli ba uhakika basi watapanda chati.... lakini kama ni propaganda basi wasahau. Watabaki kutazamwa kwenye ubongokids tu basi
Hahah kiongozi umenichekesha sana. Kwakweli kwenye ubongo kids wanatukamata sana ila siku ikija kupatikana channel ingine inayoonesha ubongo kids basi wataisoma namba vilivyo.
 
Wanataka kujua matatizo, mie naanza na haya na wengine wataendeleza
1.Quality ya picha ni mbovu
2. Hakuna ubunifu wa vipindi
3. Coverage ya habari ni poor
4. Upendeleo katika kuripoti habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…