Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha uzembe dogo.Jameni kuna fursa hapa ya kutengeneza pesa nzuri tu,kwa Siku,wiki na hata mwezi.Kama were no kijana,baba mama au Mzee hii ndio fursa,
Chakufanya tembelea hii hapa link kwa maelezo zaidi
jamiiforums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
Mbona utaandika nyingi...kipindi cha chereko chereko wa'mama' ni kama chanda na pete.Mimi mke wangu niliishamuambia siku nikimkuta anatazama TBC namdunda Talaka rejea.
Sasa kama wanaripoti mambo yasiyo na uhalisia nani aangalie hyo kitu?
Mbona Tido aliwezesha TBC kuwa na mvuto?
Hapo kiongozi nakuunga mkono. Sijui kwa nini huyu jamaa hajatafuta TV ingine inayoonyesha vizuri! Mwanzo Nilifikiri TV yangu ina matatizo, maana kila nitazama TBC naona picha zinaenda kivyake na sauti kivyake!!Yaani kweli hawajui tatizo? Kweli au wanatania??? Waache siasa za upendeleo, nani anamkumbuka yule Binti aliekua anasoma magazeti kwa kuruka headings za Upinzani au kuondoshwa kwa Tido. Sababu ziko wazi, wajipambanue. Naapa sijawahi kusikiliza TBC radio au TV labda pale tu ambapo labda kuna kipindi kile cha Yule Jamaa mwenye kipindi cha Ubongo Kids ambapo watoto wangu wanakipenda
Ndiyo wafanye usiku?Kuna mtu atakuwa anatakiwa kuachia ngaz kama yule jamaa wa kaskazin kule lupango
Hiyo chanel nilisha delete kwenye decoder yanguTBC CCM nani anataka kuangalia huu upupe.
swissme
Hiyo chanel nilisha delete kwenye decoder yangu
Hapo kiongozi nakuunga mkono. Sijui kwa nini huyu jamaa hajatafuta TV ingine inayoonyesha vizuri! Mwanzo Nilifikiri TV yangu ina matatizo, maana kila nitazama TBC naona picha zinaenda kivyake na sauti kivyake!!
Wakianza kutangaza habari za ukweli ba uhakika basi watapanda chati.... lakini kama ni propaganda basi wasahau. Watabaki kutazamwa kwenye ubongokids tu basiUonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC
Hahah kiongozi umenichekesha sana. Kwakweli kwenye ubongo kids wanatukamata sana ila siku ikija kupatikana channel ingine inayoonesha ubongo kids basi wataisoma namba vilivyo.Wakianza kutangaza habari za ukweli ba uhakika basi watapanda chati.... lakini kama ni propaganda basi wasahau. Watabaki kutazamwa kwenye ubongokids tu basi