Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Nyie mnapotoshwa maboya,wenzenu watakuwa wamekaa ili kujiandikia mzigo WA Xmas na Nyie kwa kuwaza haraka haraka mmedhani wanadiscuss performance.
Ule ulikuwa mkesha mahsusi ukienda kucheck muamala WA Oc ndio utaelewa walikuwa wanajadili nini
Mhuuu kweli yaani mkesha wa xmas ndio ukeshe unajadili xmas basi akili zao zitakua hazna akili
 
Au kuna habari wanataka kurusha kwa hiyo inabidi ku cover every angle asije mtu akatumbuliwa. Vibali vyote wanavyo? Inaweza kumchukiza mtu? Itamjenga nani asiyestahili? Nk nk
 
TBC in kitu gan?mbana cjui au aina ya bisi ?tuelimishan jaman
 
walupoteza muda tuu katika hicho kikao wamgefanya mambo yao ya maana..si wanafanya kazi kwa maelekezo kutoka juu kikao cha nini sasa..
 
Matangazo na ngojela za ccm yajenga nchi nani anazitaka.
Wametudanganya sana inatosha.
 
Kama Tido aliyoifanyia TBC ikiwa ni pamoja na kurejesha jina lenye mvuto (TVT-TBC) quality graphics na programming bado.... ilionekana kuwa ni nothing kwa serikali-chama....hicho kituo hata kama kitahamishiwa Magogoni ni kazi bure.
 
Tatizo no uongozi. Hivi unamuondoaje MTU kama tido mhando unamueka rioba!!!.
No ngumu halafu kituo chenyewe wafanyakazi wrote no kama hawkusomea Nazi hizo wapowapo tu. Yaan majanga tuu.
 
Tatizo wanasifia mpaka mambo ya kipuuzi yanayofanywa na CCM nani aangalie huo mkituo wao? Tumewaachia wagogo waangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…