Mo-TOWN
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,721
- 515
HaahahaaaSasa mkuu unalinganisha TV1 na TBCCM? Kwanza wana picha mbaya utadhani wanatumia kamera ya Kodak.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaahahaaaSasa mkuu unalinganisha TV1 na TBCCM? Kwanza wana picha mbaya utadhani wanatumia kamera ya Kodak.
Mhuuu kweli yaani mkesha wa xmas ndio ukeshe unajadili xmas basi akili zao zitakua hazna akiliNyie mnapotoshwa maboya,wenzenu watakuwa wamekaa ili kujiandikia mzigo WA Xmas na Nyie kwa kuwaza haraka haraka mmedhani wanadiscuss performance.
Ule ulikuwa mkesha mahsusi ukienda kucheck muamala WA Oc ndio utaelewa walikuwa wanajadili nini
Au kuna habari wanataka kurusha kwa hiyo inabidi ku cover every angle asije mtu akatumbuliwa. Vibali vyote wanavyo? Inaweza kumchukiza mtu? Itamjenga nani asiyestahili? Nk nkUonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.
Matangazo na ngojela za ccm yajenga nchi nani anazitaka.Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.
Naam mkuu, hivi Ryoba aliukubali ukurugenzi wa TBC au aliukataa?Tatizo wanalikwepa wakati wanalijua
[emoji79] [emoji79]unalinganisha tv1 na vitu vya hovyo??
Sema Sibuka TVTbc inazidiwa haya na TV1
Hii statement ni ya kuwakubali AZAM.tido yupo azam je ukiondoa mpira wana nini