Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC
Lakini kadi Rais alituma vituo vyote, sijui unataka kujaribu kuzusha nini.
 
Tido Muhando alikuwa anataka kuifanya iwe kwenye viwango wakamuona hafai...
 
Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC
Ili watu waangalie TBC inabidi uige ya Tido Mhando,tatizo mwenyekiti Wa chama hatakubali maana yeye ndiye anayetoa ruzuku.Katiba mpya muhimu sana
 
Mimi nilifikiri TBC imeshaondolewa hewani kumbe bado ipo, TBC imepwaya sana, mojawapo ya kitu kilichowaponza ni ubaguzi wa kisiasa hadi ikaonekana ni kituo cha chama Fulani, sasa wananchi hawana mchezo wanakisusilia mbali, cha msingi wajirekebishe,
 
mara mia niangalie nepi alizo chafua mwanangu... Kuliko huo uchafu.
 
Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC
Jina lina maanisha ni ya taifa lakini maudhui ama habari siyo za kina ama kitaifa
 
Kumbe mmenyimwa kadi ivi cloud kupewa kadi ina mbna n bora mh kituo bora muda wote ni Super brand Itv
 
Njia ni moja tu wabadilike... dunia imebadilika sasa... Wawe wabunifu kwenye kulenga soko na siyo kufurahisha watu... Breaking news zinatokea wao hawana habari kabisa kama vile hawapo tanzania, wakati Tv vingine wanaonesha... Vipindi pendwa ni vipindi vinavyohusisha vijana, na siyo siasa kila muda, zilipendwa kila muda... msema kweli ni mpenzi wa Mungu TBC ni station ya Taifa lakini haina mvuto kuiangalia kabisa...
 
Niliwapigia Simu Azam TV wanielekeze jinsi ya Kuifuta TBC kwenye kingamuzi changu na walinisaidia kwa moyo mmoja kwakweli nilifarijika sana
 
Mkurugenzi mkuu, watu wako si wabunifu bado wana mind sets za kuzamani, wanajua wajitahidi wasijitahidi awawezi kukosa mshahara - Serikali itawapa TBC ruzuku ya kujiendesha na kulipa wafanyakazi mishahara kwa nini wapoteze muda wa kuangihika kuwa wabunifu.

Wakati mwingine huwa najiuliza hivi TBC isingeshirikiana na Startimes mambo yangekuwaje?

Chukulia mfano mdogo wa kusambaza matangazo nchi nzima, kwa nini wali g'ang'ania kutumia njia ya terrestrial ambayo inagharimu fedha nyingi kuitekeleza na ina changa moto lukuki kusambaza nawimbi yake nchi nzima - je mainjinia Wantanzania wa TBC na wakurugenzi husika wanaweza kuwaeleza Watanzania blunder/zoezi hilo ambalo halijakamilika litagharimu fedha za walipa kodi kwa kiasi gani.

Miaka ya nyuma niliwahi kutoa ushauri kwa nia nzuri kwamba Serikali/Startimes watumie mfumo wa satellite kusambaza mawimbi nchi nzima wakapuuzia, baadae kaja AZAM akatumia mfumo wa satellite na kuweza kusambaza mawimbi nchi nzima and beyond kirahisi kwa kutumia Satellite at a record time ndio na TBC/Startimes wakashituka na kuanza kutumia mfumo huo huo na wa satellite na terrestrial at ago !!

Sasa swali ni: Nani atagharimia blunder hizo, je mafundi/mainjinia/wakurugenzi wakuu wa ufundi wa TBC kazi zao ni nini? kuwasikiliza Wachina bila ya wao kutoa mchango wowote wa kuifundi, mradi kasema mbia nyinyi hamna mamlaka ya kubishana nao hata kama wanayo taka kutekeleza yataigharimu sana kifedha Serikali au ujenzi wa kusambaza mawimbi nchi nzima Wachina awatatutoza chochote i.e ni msaada!
 
MALIPO N DUNIAN WALIKUA WAKISOMA HABARI ZA LOWASA WANAZIRUKA SASA WAKADHAN WANAMKOMOA SASA WAMEONA MADHALI YAKE. KUONYESHA BUNGE KULIWABEBA SANA SASA WALIPOSITISHA NDIO WAMEJINYOONGA KABISA. SASA WAMELETA SHERIA YA KUWA BEBA LAKINI HAWATAWEZA IMEPOTEA TU. AZAM N KITUO CHA KULIPIA LKN KIMEWAZIDI. NACHO WAASA KUNAVITU USIJARIBU KUCHANGANYA SIASA NA HUDUMA YA JAMII. NAISUBIRI NA STAR TV IWE HVO MANA NINA MWAKA SIJAITAZAMA SASA NA SUJUI TAITAZAMA LINI
 
Wanakesha kujadili sababu zilizodhahili!! Discussing the obvious.
Mnafanya mnachoelekezwa na mkono mnaoujua. Ya nini kukesha?
Katika mazingira ya ushindani TBC haiwezi. Sababu kubwa ni kwamba lazima watangaze kufuatana na maelekezo na matakwa ya serikali. Hawaruhusiwi kuikosoa ccm na serikali yake. Waishangilie ccm na serikali yake.
Tusitegemee jipya. Wapate uzoefu wa Tido Mhando badala ya kukesha kujadili the obvious.
 
Back
Top Bottom