Case studyHalafu hiyo mitumba wananùnua kwa bei mara mbili hadi tano ya vipya.
Serikali ya CCM imeoza ndugu zangu.
Una uhakika?Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.
Sheria hii ikipita iko siku taifa litakuja kuomboleza msiba mkubwa utakaosababishwa na maamuzi ya leo pale Meli zitapakuja kuzama, ndege kuungua angani, treni kuua watu wakati huo Mwigulu yuko zake ughaibuni hayuko tena tanzania. Sisi familia zetu zinakwenda kupoteza maisha kwa maamuzi ya leo kisa tu watu wamekula rushwa kufanya maamuzi hayo.
Hii Sheria ni moja ya Sheria mbovu na iliyojaa mazingira ya rushwa kwa watu wachache wenye madaraka kwa sasa kina mwigulu na washirika wake.
Tuliombee taifa letu tuko kwenye hatari kubwa.
Mbaya zaidi Bunge haliko live kwenye TV ili watanzania wasijue kinachojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Hakika ni kwamba tunarudi kuleee kwa kina Kikwete na Pinda....Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.
Sheria hii ikipita iko siku taifa litakuja kuomboleza msiba mkubwa utakaosababishwa na maamuzi ya leo pale Meli zitapakuja kuzama, ndege kuungua angani, treni kuua watu wakati huo Mwigulu yuko zake ughaibuni hayuko tena tanzania. Sisi familia zetu zinakwenda kupoteza maisha kwa maamuzi ya leo kisa tu watu wamekula rushwa kufanya maamuzi hayo.
Hii Sheria ni moja ya Sheria mbovu na iliyojaa mazingira ya rushwa kwa watu wachache wenye madaraka kwa sasa kina mwigulu na washirika wake.
Tuliombee taifa letu tuko kwenye hatari kubwa.
Mbaya zaidi Bunge haliko live kwenye TV ili watanzania wasijue kinachojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Umasikini na misimamo havikai nyumba moja.Hao wajinga hawajielewi, nguo za mitumba NO, ndege za mitumba YES.
Umaskini mbaya sana, huwezi kuwa na msimamo.
Imefika mahali natafakari wanangu kuwatolea laana ya utamzaniaMwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za Nyerere ATC iliwahi kukodi ndege marehemu toka kwa mpalestina George Hallack, siku ya uzinduzi wa safari yake ya kwanza toka Dar es Salaam kwenda London ndege ilikuwa kama Dar Express, ilikwenda mpaka mwisho wa uwanja ikagoma kuruka! Ilibidi basi la uwanja wa ndege likawachukue abiria na kuwarudisha mjengoni, hiyo ndege iliishia hapo uwanjani na hakuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua. Magufuli, aliagiza meli kwa ajili ya abiria kati ya Dar na Bagamoyo, meli ilianza safari kwa mbwembwe zote za kiccm, ilichukua saa mbili toka bandarini Dar mpaka Kunduchi! Magufuli akateremka na kurudi mjini, meli ilitelekezwa bandarini na hakuna aliyechukuliwa hatua, pia kuna manyangarakasha mengine mengi tu yaliyokula pesa zetu huku tukiongezewa kodi kufidia hasara.Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.
Sheria hii ikipita iko siku taifa litakuja kuomboleza msiba mkubwa utakaosababishwa na maamuzi ya leo pale Meli zitapakuja kuzama, ndege kuungua angani, treni kuua watu wakati huo Mwigulu yuko zake ughaibuni hayuko tena tanzania. Sisi familia zetu zinakwenda kupoteza maisha kwa maamuzi ya leo kisa tu watu wamekula rushwa kufanya maamuzi hayo.
Hii Sheria ni moja ya Sheria mbovu na iliyojaa mazingira ya rushwa kwa watu wachache wenye madaraka kwa sasa kina mwigulu na washirika wake.
Tuliombee taifa letu tuko kwenye hatari kubwa.
Mbaya zaidi Bunge haliko live kwenye TV ili watanzania wasijue kinachojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Lakini hel za Kununua silaha navitendeakazi vingine vya polisi Kwa ajili ya kusimamia uchaguzi wa siku Moja bil 125 zipo eti?Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane
Ukweli ni upi hebu tujuzeUuu utabaki kuwa ni uongo wa wakosa sera.
Actually sheria mpya inawabeba zaidi wazalishaji na suppliers wazawaMadalali wa kimataifa wameshafanya lobbying ya kutosha hadi kubadilisha sheria. Hakuna mtumba wenye warranty. Kwa sheria hii, tumekwisha, watu watakufa, hakuna uwajibikaji wa mnunuzi, makampuni ya insurance yatakwepa kulipa fidia etc. Muuzaji wa ndege au train kukuu huuza zikiwa zimechoka na kuna uwezekano wa kuuziwa zisizofaa kwa matumizi tena.
Ukweli ni mpaka tutakaposikia matangazo ya bunge.Ukweli ni upi hebu tujuze
Hiyo ni bajeti ya jeshi la polisiLakini hel za Kununua silaha navitendeakazi vingine vya polisi Kwa ajili ya kusimamia uchaguzi wa siku Moja bil 125 zipo eti?
watanunua mitumba kwa bei ya mpyaWenzetu wanapiga vita mitumba sisi ndio kwanza tunabadili sheria tuipokee[emoji16][emoji2827]
Sent using Jamii Forums mobile app