Y Young fadson JF-Expert Member Joined Nov 6, 2017 Posts 1,177 Reaction score 1,406 Sep 10, 2023 #81 inamankusweke said: Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane Click to expand... Huna akili, hukupaswa kutoa hata mawazo yako hadharani
inamankusweke said: Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane Click to expand... Huna akili, hukupaswa kutoa hata mawazo yako hadharani
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Sep 10, 2023 #82 2025 wapiga kula watakuwa wachache sana.
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Sep 10, 2023 #83 Lycaon pictus said: Unadhani hii kodi unawapa TRA ndiyo inaenda kununua vitu nje? Click to expand... Mi siyo poyoyo mwenzio babu!!
Lycaon pictus said: Unadhani hii kodi unawapa TRA ndiyo inaenda kununua vitu nje? Click to expand... Mi siyo poyoyo mwenzio babu!!
mgen JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 23,169 Reaction score 9,054 Sep 10, 2023 #84 inamankusweke said: Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane Click to expand... Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani? Acha uoga ni ndugu zako hao waarabu wa magomeni na buguruniKama ni ndugu wenye asili moja wamejikusanya hivyo baodo litakuwepo swali! www.jamiiforums.com View attachment 2743983 Nini malengo ya ibada hii? Kwa nini bendera yetu? Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
inamankusweke said: Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane Click to expand... Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani? Acha uoga ni ndugu zako hao waarabu wa magomeni na buguruniKama ni ndugu wenye asili moja wamejikusanya hivyo baodo litakuwepo swali! www.jamiiforums.com View attachment 2743983 Nini malengo ya ibada hii? Kwa nini bendera yetu? Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app