Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Huna akili, hukupaswa kutoa hata mawazo yako hadharaniUna hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akili, hukupaswa kutoa hata mawazo yako hadharaniUna hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane
Mi siyo poyoyo mwenzio babu!!Unadhani hii kodi unawapa TRA ndiyo inaenda kununua vitu nje?
Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane