TBC wamekata matangazo ya Bunge kuficha Sheria ya Manunuzi inayoruhusu Serikali kununua ndege, treni na meli za mitumba?

TBC wamekata matangazo ya Bunge kuficha Sheria ya Manunuzi inayoruhusu Serikali kununua ndege, treni na meli za mitumba?

2025 wapiga kula watakuwa wachache sana.
 
Una hela ya kununua vipya!?..Kodi unakwepa,tozo ulizisakama,kukopa unapigia kelele, kuwekeza bandari unafanyia maombi lisiwezekane

View attachment 2743983

Nini malengo ya ibada hii? Kwa nini bendera yetu?

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom