Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe sa hizi unatakiwa uwe kazini, au ndo uko kazini hivyo?Bunge lenyewe linaoneshwa muda wa kazi,,ivi nani anapata muda wakuangalia bunge? Humu ndani inaonekana watu wengi ni mahouse girl ndo mnaolalamika manake mnakuwa nyumbani muda mwingi basi Nape amewasikia atawafikiria..!!
Waziri wako kasema kubana matumizi, we unasema watu wafanye kazi, watanzania wamsikilize nani?.
Yani ndo tatizo lakuwa na watu wasiofikiria hv TBC inavipindi vingapi vya ovyo kwann wakati wa Bunge wavifute vyote na hzo pesa waelekeze kurusha live bunge. Kwanza hzo bilion nne nyingi sana sahz technolojia ni kubwa mno labda km wanalipana maposho makubwa makubwaSasa hizo Gharama anazosema Nappe 4bil za wapi? Ndio hizo zitalipwa kwa kodi zetu yeye(Nappe) asiwe na wasiwasi maaana serikali ina hela nyingi sana ndio maana tumepigwa bil 129 na NIDA.
Baadhi!!!!!!....Nape ametoa tangazo hilo muda huu!
Baadhi ya matukio ya shughuli za bunge yatarekodiwa na kurushwa kuanzia saa nne usiku!
Huoni tatizo? Kuna kitu kinaitwa KUCHUJWA KWA HABARI.
Kuna hoja ya msingi hapa zaidi ya watu kufanya kazi muda kazi na siyo kuangalia Bunge? Kama Serikali ingekataza kuonyeshwa Bunge kabisa hapo sawa lkn litaonyeshwa lote jioni baada ya kazi, tatizo liko wapi hapo?
Statv nao wamekata gafla badala yake wameweka VOA. Nimeishiwa poz yani
Litaoneshwa lote ndani ya lisaa limoja? How? Jana nimeona marudio yakiwa yamekatwa na hoja ya uchaguzi wa zanzibar ikiondolewa kabisa! Hicho ndo tunataka?Kuna hoja ya msingi hapa zaidi ya watu kufanya kazi muda kazi na siyo kuangalia Bunge? Kama Serikali ingekataza kuonyeshwa Bunge kabisa hapo sawa lkn litaonyeshwa lote jioni baada ya kazi, tatizo liko wapi hapo?
Sio kweli....Star TV huwa wanarusha wao moja kwa moja, na ndio maana kama ukichunguza, utakuta picha za star TV zinakuwa tofauti na za TBC kimatukio kwenye Bunge...huyu anaweza kuwa anaonyesha kiti cha Spika, wakati mwingine anaonyesha Mbunge anayezungumza. Wanaojiunga na TBC huwa ni ITV, Channel 10, etc, amabao hata nembo ya TBC huwa inaonekana.Hujawahi sikia TV au Radio za Tanzania zikisema sasa tunajiunga na BBC kusikiliza taarifa za habari? Ina maana BBC akizima mitambo yake wewe huwezi kujiunga naye kurusha hicho kipindi.Kama Star tv walikuwa wakijiunganisha na TBC kurusha matangazo automatically TBC wasiporusha Star TV hawezi rusha kwa sababu hawi na mitambo yake eneo husika.Kama BBC wasiporusha kipindi wewe huwezi rusha kwani huna mitambo yako eneo husika ulijiunga tu
We ni mtabiri, nabii au msemaji wa. Nape? Sory nisije kua najibishana na marehemu shekh yahya.Kasema hivyo ili kuondoa mijadala lkn sababu hasa itakuwa ni hiyo ya HAPA KAZI TU!
Acha kashifa kijana tupo humu ndani watu wenye miladi yetu na tunaweza kukupa kazi ukafanikiwa maishani mwako..Bunge lenyewe linaoneshwa muda wa kazi,,ivi nani anapata muda wakuangalia bunge? Humu ndani inaonekana watu wengi ni mahouse girl ndo mnaolalamika manake mnakuwa nyumbani muda mwingi basi Nape amewasikia atawafikiria..!!
Sijui kama umesoma tangazo na kulielewa. Wamesema wataonyesha sehemu tu ya bunge na sio kipindi choteKuna hoja ya msingi hapa zaidi ya watu kufanya kazi muda kazi na siyo kuangalia Bunge? Kama Serikali ingekataza kuonyeshwa Bunge kabisa hapo sawa lkn litaonyeshwa lote jioni baada ya kazi, tatizo liko wapi hapo?
Litaoneshwa lote ndani ya lisaa limoja? How? Jana nimeona marudio yakiwa yamekatwa na hoja ya uchaguzi wa zanzibar ikiondolewa kabisa! Hicho ndo tunataka?
itv
whazap zipo tutaona tuu
Sasa hizo Gharama anazosema Nappe 4bil za wapi? Ndio hizo zitalipwa kwa kodi zetu yeye(Nappe) asiwe na wasiwasi maaana serikali ina hela nyingi sana ndio maana tumepigwa bil 129 na NIDA.