barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
NIMESHANGAA SANA KUTOA SABABU YA GHARAMA WAKATI AZAM NA STAR TV WANAJITEGEMEA, siungi mkono huu upuuzi wa kutubania uhuru wa habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa taifa letu litapiga hatua kubwa kimaendeleo,haya maigizo ya bunge yalikuwa yanawachukulia mda mwingi sana wa kufanya kazi wananchi
Endapo Azam tv na Star tv wataingia kwenye huu mkumbo.Nitaamini huu ni mkakati mzito.Ulioanzia ngazi za juu kabisaNIMESHANGAA SANA KUTOA SABABU YA GHARAMA WAKATI AZAM NA STAR TV WANAJITEGEMEA, siungi mkono huu upuuzi wa kutubania uhuru wa habari.
Azam tv wameonyesha hadi bunge linaahirishwa na sasa hivi ndio limeanza tena kutangaza uamuzi huo,Tukubaliane jamba moja,Kama TBC wanaona ni gharama kurudha bunge live ni kwa nini Azam Tv na Star Tv nao wamekatisha matangazo ngafla?
Tanzania sio korea kasikazini,Endapo vyombo vya habari vitadhibitiwa kwa mtindo huu ni kheri turudi kwenye chama kimoja tusiwe nchi ya kuhoji wala kujadili
Tunapoelekea hata Mtandao wetu pendwa JF nao unaweza pangiwa mashariti
Huu uoga unatoka wapi?Hii haki ya kupata habari ni ya kikatiba sio hisani ya mtu wala serekali
Rais Magufuli asipoingilia swala hili mapema heshima yake yote aliyoipata itaporomoka.Huu ni aina ya udikteta
Unauhakika taarifa zinasema kwamba tbc ita-record kipindi kizima cha bunge bila kuki-edit? au ndio muendelezo wako kukurupuka hapa?
Azam tv wanamitambo yao binafsi ya Live even star tv labda wafanye hivyo kwa shinikizo tukuna jamaa kanambia eti wote hawataonyesha kisa erti wote walikuwa wanapata toka tbc si uongo huu nishamchamba weee hebu nambien iz zis true nianze kuratibu maandamano kudai kuona bunge live?///////
just jocking msije mkaanza kumtafuta kova buree na najua pia kstaafu watoto wa shule za kata msije mkaanza hoja hapa
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh"Information is Power"
Fungeni Facebook
Fungeni Whatsapp
Fungeni Jamii Forum
Fungeni Tweeter
Zuieni simu za Smart Phone
Zuieni huduma za Mtandao
Lengo kuu ni kuendelea kuwa Wajinga ili muendelee kutluongoza
C c m ni majanga na tayari umeshaaza kuisoma nambaNIMESHANGAA SANA KUTOA SABABU YA GHARAMA WAKATI AZAM NA STAR TV WANAJITEGEMEA, siungi mkono huu upuuzi wa kutubania uhuru wa habari.
ha ha ha ha kumbe na ww ulikiona ? ni hatariiiiiiKitu kitu kweli acha watu wajilie vitu maharumu😉😉😉
Na JF ina slogan nzuri sana dare to talk Sasa ipo hatari nape akabadili hii slogan yetu humu"Information is Power"
Fungeni Facebook
Fungeni Whatsapp
Fungeni Jamii Forum
Fungeni Tweeter
Zuieni simu za Smart Phone
Zuieni huduma za Mtandao
Lengo kuu ni kuendelea kuwa Wajinga ili muendelee kutluongoza
Watakuwa wame edit kuonyesha mazuri ya CCM tu .,.. Acha tuisome number ... kwa mbali naona awamu hii itakuwa ya hovyo kuliko zote .
Ni kweli kabisa. Naona hawakujua maana ya HAYA NI KAZI TUHAPA KAZI TU! MUDA WA KUANGALIA BUNGE HAKUNA SUBIRI USIKU! SAFI SANA! WATANZANIA MAENDELEO HULETWA KWA KUFANYA KAZI SI KUANGALIA TV WAKATI WA KAZI.